Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kesho nitakuonesha video, kazinguliwa na Ode sababu ya poor positioning
Hata mimi niliona, ile nafasi ya namba 6 kabisa lakini hakuwepo pale, na kulikua na gape kubwa sana pale, walipaswa kua wachezaji wawili viungo eneo lile lakini najiuliza kwann hakua pale, na kuna muda nilikua namuona yeye kama namba 6 anaenda kumpress rodri ambae pasi kapokea kutoka kwa kipa wa city.
 
Arteta kaisuka Arsenal ambayo ipo sawasawa physically na technically , wachezaji wapo imara sana kimwili na wakiwa na mali wapo salama sana , ngumu kuwazuia kutoka nyuma na kufika mbele
 
Arteta says Partey felt something.

"We didn't want to take any risks. He could not continue."
 
Arteta says Partey felt something.

"We didn't want to take any risks. He could not continue."
Kitakacho waponza nyie ni media tu ....


Bora mngekuwa mnakaa kimya tunakutana na surprise kama za Brentford,Everton ....ila nyie tutawagonga mpaka mtajuta
 
Mashabiki wa Arsenal tumefungwa lakini hatuoni shida maana kwa ufinyu wa kikosi chetu hatuwezi kushindana vikombe vinne ndomana tumetoka Carabao na FA nguvu ipo EPL na Europa.
 
Yule aliyesema Saka anakabwa na watu watatu Yuko wapi
kwel arsenal Ina empty headed fans wengi ,zero brain

Ake pocketed Saka and scored the only goal of the Match.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…