Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa Arsenal tunavyocheza ,hasa msimu huu ...tunamuhitaji Sana Zinchenko
 
I’m hearing that Arsenal are expected to make an offer for Moisés Caicedo before the window ends, I’m wondering whether this might spur Chelsea into a response.

It’s unknown right now whether Chelsea will go back in these final days of the window.

#CFC

(@siphillipssport)
 
Mchezaji kukataa timu Kuna factors nyingi tu ,usikariri

Ebowei mwaka Jana aliikataa man u akaenda Crystal palace ambapo anakaa benchi
YEah

Mshiko au na, dk. Hizo ndizo main. Nasikia alikataa baada ya kujadiliana. Sasa kama Chelsea wanataka kwa udi na uvumba kuwasajili akina Enzo na Caicedo, yeye anaogopa atakosa namba. Na kama mchezaji bado kuinua kiwango akienda kwenye timu kubwa ndio anaua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…