Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nafurahi kwamba agent Sturridge kafanya kazi tuliyomtuma, safi sana.
 
hhaaaa yaaanikipa wa arsenal kanifurahisha sana..kapigwa goli mpaka na kiu imemshika katulia nyavuni anakunywa maji ..hahaaa
 
hii sio timu ni utumbo wa bata ..mabeki wamezubaa utadhani wamelewa valuuu
 
Mechi zetu zinaharibiwa na marefa - thats why the FA hawataki technology.
 
Timu ilihitaaji wachezaji wachache tu kuongezea Wenger kakataa kununua, matokeo yake ndio. Mumivu tu hata kama wao hawajali lakini lazima wakumbuke mapato yanatoka kwa fans pia.
 
Timu ilihitaaji wachezaji wachache tu kuongezea Wenger kakataa kununua, matokeo yake ndio. Mumivu tu hata kama wao hawajali lakini lazima wakumbuke mapato yanatoka kwa fans pia.

hahahaa mnatia huruma kweli...mwee utadhani wakimbizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…