Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KUNA HOFU HUENDA JERAHA LA MOHAMMED ELNENY LIKAMUWEKA NJE HADI MWISHO WA MSIMU

Mail: There are fears the knee problem suffered by El Neny in training could keep him out for the rest of the season.
 
Nawe umekomaa tu sio rahisi sio rahisi kwani kuna mtu amesema ni rahisi?????
Kwani hao city uwezo wa kuwapiga sisi hatuna,!!!!???unapokuwa katika mapambano hutakiwi kuwa na fikra hizo,hapo unafail totally....
Ukisema SIWEZI basi kaa ujue HUTOWEZA KWELI...

Haya ni mashindano na lazma kuwepo na uhamasishaji,mwambie mshindani kuwa anaweza na atashinda ili awe na ari ya upambanaji sio kukatisha tamaa,
wewe hufai kuwa kocha,hufai kuwa mwalimu,darasa lako litafeli tu...
Mwambie mwanafunzi wako kuwa unaweza,nakumbuka kipindi nipo sec pale kinondoni mwalimu wangu wa math alikuwa anasema A ya math inawezekana,kwani hao wa Feza sec wana vichwa vitatu si kimoja kama wewe?komaa,huku tukijua kuwa huwezi kulinganisha Feza sec na Kino sec ni mbingu na ardhi ktk nyanja zote........
 
Kwangu Mimi bada naona Tomiyasu ndio namba mbili wetu bora na Tierney namba tatu wetu bora. Zinchenko namuona kama midfielder zaidi na ana perfome vizur Kama tukiwa tunashambulia, Kama tunashambuliwa awi mzuri sana kwenye kudefend kama namba tatu so ukiachana na mambo ya technical kimajukumu ya namba tatu Tierney yuko mile ahead kwa zinchenko hayo n mawazo yangu,
White ile perfomce yake msimu ulio pita bado unambeba lakn sijaona Kama amemzid sana Tomiyasu, kilichomshusha Tomiyasu n yale majeruhi
Overall natamani beki zibak kama zilivo asiondoke ata mmoja quality na kikosi kipana ni muhimu sana,
 
Kwa Arsenal tunavyocheza ,hasa msimu huu ...tunamuhitaji Sana Zinchenko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…