ZilipendwaOzil, Sanchez, Podolsiki nao tulipewa?
We jamaa sijui kama huwa unafkiria vizuri kabla ya kuandika.Hebu kua na adabu basi japo kidogo kwa Caicedo.
Chelsea, Bayern Munich, PSG na Real Madrid wote wanamtolea udenda halafu Kima wewe unakuja kuuliza Caicedo ana profile gani?
Sasa wewe unataka kumfananisha Caicedo na huyo Kwiyo wenu mliyemuokota kwa eftatu? View attachment 2493807
allypipi Flano OllaChuga Oc hivi ni viazi direct yaani haijalishi nini au nini vyenyewe ni upimbi tu mwanzo mwishoWe jamaa sijui kama huwa unafkiria vizuri kabla ya kuandika.
Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.
Ni sababu Arsenal akiwa Emirates anafungulia Busta Zote ,C Lesn
Clean sheets chache sana. Ila ushindi ni mtamu
Caicedo Sidhan Kama kafikia profile ya Declan riceKwani mshahara ndio profile, wewe unajua market value ya Caicedo?
Kwa profile aliyo jenga Caicedo sio timu goigoi ndiyo itaenda pale. Mark my word. Posa tu ya yule lazima uende na personality na profile kubwa.
Na ushabiki wa mpira una vyoteallypipi Flano OllaChuga Oc hivi ni viazi direct yaani haijalishi nini au nini vyenyewe ni upimbi tu mwanzo mwisho
lembu Hziyech22 hawa ni viazi vya msimu kuna siku watatoa hoja halafu kuna siku wanakua miyeyusho
juan david mara zote anajenga hoja kuliko mipasho
Carrasco putin huyu atakua kiranja wa Milembe
Hi habari Ni uzushi ,rejea vzr vyanzo vyako ,Hata mashabik wa ChelKenge wakiona hawatakubaliana na weweChelsea kapeleka 60M ili amchukue Feran Torres ila Barca wamegoma
Nijudge wewe nikijijudge mwenyewe nitakua nakoseaNa ushabiki wa mpira una vyote
Wewe uko upande gani au kuwanyooshea vidole wenzako tu?
Kila mtu ashinde tu game zake, mwambie hivyo,, kwan tushamzoea kuropoka kwake,, nakumbuka huyu aliishawah kutoa mbov kuhusu xhakaThierry Henry akizungumzia kiwango cha Man Utd dhidi ya Arsenal: “Tuliona timu ikiwa na miaka mitatu ya maendeleo dhidi ya timu yenye miezi sita ya maendeleo, pia timu yenye mapumziko ya wiki moja dhidi ya timu yenye mapumziko ya siku mbili, lakini United bado walicheza kwa kupishana( toe- to- toe) na Arsenal ambayo kwangu ilinishangaza ..Siitaki kumdharau Sir Alex Ferguson, lakini kama Erik ten Hag atapata anacho kitaka akiwa United, watacheza soka la kuvutia zaidi kuliko walivyocheza chini ya Sir Alex.”
Sio mimi maneno ya legend wenu msianze kunikaanga hapa.View attachment 2494521
Lete sourceThierry Henry akizungumzia kiwango cha Man Utd dhidi ya Arsenal: “Tuliona timu ikiwa na miaka mitatu ya maendeleo dhidi ya timu yenye miezi sita ya maendeleo, pia timu yenye mapumziko ya wiki moja dhidi ya timu yenye mapumziko ya siku mbili, lakini United bado walicheza kwa kupishana( toe- to- toe) na Arsenal ambayo kwangu ilinishangaza ..Siitaki kumdharau Sir Alex Ferguson, lakini kama Erik ten Hag atapata anacho kitaka akiwa United, watacheza soka la kuvutia zaidi kuliko walivyocheza chini ya Sir Alex.”
Sio mimi maneno ya legend wenu msianze kunikaanga hapa.View attachment 2494521
Wewe tukuweke kundi ganiallypipi Flano OllaChuga Oc hivi ni viazi direct yaani haijalishi nini au nini vyenyewe ni upimbi tu mwanzo mwisho
lembu Hziyech22 hawa ni viazi vya msimu kuna siku watatoa hoja halafu kuna siku wanakua miyeyusho
juan david mara zote anajenga hoja kuliko mipasho
Carrasco putin huyu atakua kiranja wa Milembe
Hivyo ndiyo Arsenal walivo, wanakupa credit when you deserve it and that's called respect and fairness unlike your so called legend Garry Neville na mashabiki wengine mna ego ya kishamba sana.Thierry Henry akizungumzia kiwango cha Man Utd dhidi ya Arsenal: “Tuliona timu ikiwa na miaka mitatu ya maendeleo dhidi ya timu yenye miezi sita ya maendeleo, pia timu yenye mapumziko ya wiki moja dhidi ya timu yenye mapumziko ya siku mbili, lakini United bado walicheza kwa kupishana( toe- to- toe) na Arsenal ambayo kwangu ilinishangaza ..Siitaki kumdharau Sir Alex Ferguson, lakini kama Erik ten Hag atapata anacho kitaka akiwa United, watacheza soka la kuvutia zaidi kuliko walivyocheza chini ya Sir Alex.”
Sio mimi maneno ya legend wenu msianze kunikaanga hapa.View attachment 2494521
Nyie matakataka naona mkamuosheya manjestaa 😂😂😂
Nyie tambeni tu wakati wenu umefika na unakaribiya wa kulia na kusaga meno