Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acheni kukufuru nyie viumbe,
Umfunge Man Utd zaidi ya goli 3 kwa kikosi gani hasa mlichonacho?
Hilo goli la 3 lenyewe refa aliamua kuwapa tu ili mpunguze maneno maneno, maana kabla ya mechi mlikua mmeshaanza kumtuhumu kua atawabeba united.
Sio kwamba shaw anavuja, timu zote zinazokutana na Arsenal Saka hua anakabwa na wachezaji wawili hadi watatu ila kwa leo Man u alikua ni shaw tu kwaiyo lazima uone anavuja sana.Hongereni Gunners, ule msako mlioupiga dakika 20 za mwisho ilikua haina budi mpate goli.
Saka leo ndio MoTM, huyu dogo akikutana na beki inayovuja kama Shaw hua anang'aa kwelikweli.
View attachment 2491891
Huyo ñi Sapong mtupuSasa Werghost anafanya nini uwanjani?..
Hii sio game yake..weka Garnacho awachukue.
Kila mechi huwa ina mbinu yake na sometimes pia wachezaji nao wana ari zao kila mechi.Mkuu pep saizi anatusubiri tu kwenye game zetu maana anajua fika tutakuwa na pressure juu juu kama kuku kwenye joto kali
Basi beki zote za EPL zinavujaHongereni Gunners, ule msako mlioupiga dakika 20 za mwisho ilikua haina budi mpate goli.
Saka leo ndio MoTM, huyu dogo akikutana na beki inayovuja kama Shaw hua anang'aa kwelikweli.
View attachment 2491891
Saka akigundua unataka kumsumbua Sana ,huwa anatabia wanakuwa karibu na ode wanapiga Killer passSio kwamba shaw anavuja, timu zote zinazokutana na Arsenal Saka hua anakabwa na wachezaji wawili hadi watatu ila kwa leo Man u alikua ni shaw tu kwaiyo lazima uone anavuja sana.
Wenzio tayari wameshakaza mafuvu ya vichwa vyao, hawataki kabisa kusikia habari nyingine zaidi ya Arsenal kubeba ndoo na Haaland kiatu.Nadhani sote tunakumbuka mbio ambazo Pep na Klop walikuwa wanakimbizana na muda huo wote wana wachezaji matured enough
Klop aliwahi kumwacha pep points 14 ila mwisho wa siku akazikata, Liverpool yenye wachezaji matured enough kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji bora kwa kipindi kile kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji wazoefu kuliko wetu
Ni kheri uwe unafukuza mwizi kimya kimya kuliko kuwa unafukuzwa kimya kimya na mtu mwenyewe anaekufukuza ni pep na istoshe wachezaji wa city wana uzoefu na mbio za ubingwa kuliko sie
Japokuwa kila mwana Arsenal anatamani kuona hatutoki pale juu ila ukweli ni kwamba sio rahisi hivo kama unavotaka kutuaminisha mkuu
Kama mechi zenyewe ndio hizoNext 10 PL fixtures for ArsenalView attachment 2491985
Fundi zinchenkoHUYU NDIYE ZINNY NINAYEMJUA MIMI
Zinchenko says in the pre match huddle he asked his team mates to enjoy the game.
This is our stadium,our fans and no one can beat us here.View attachment 2491987
Acha tu waniite mamluki ila me naongea ukweli, points 8 Kwa pep ni ndogo sana labda kama aendelee kusua sua kama mwanzoWenzio tayari wameshakaza mafuvu ya vichwa vyao, hawataki kabisa kusikia habari nyingine zaidi ya Arsenal kubeba ndoo na Haaland kiatu.
Sitashangaa wenzio kukuita mamluki/msaliti kwa huu ukweli uliowaambia.