Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Goli la Bruno Vs city ulitoa pongezi pia Kwa VAR?Pongezi kwa VAR team.
View attachment 2491894
Sorry nilizani Man.Uwezo wangu umeishia hapo wapi? Kama hujui ume mquote shabiki wa Arsenal
Ni ukweli usiopingika kuwa Arsenal game za nyuma dhidi ya Man u at Emirates zilikuwa nyepesi kwa sababu walikuwa hawana pressure ya matokeo
Game ya leo ilikuwa na different approach, different determination, different pressure, tumekuwa tukicheza na man u kipindi ambacho hiyo game haitupi chochote zaidi ya pride tu
Game ya leo ilikuwa ni zaidi ya pride, game ya leo ilikuwa ina determine mwenendo wetu wa ubingwa, wachezaji walikuwa na pressure kubwa sana baada ya city kushinda, na hii yote ni kutokana na kutokuwa na wachezaji wengi wazoefu wa mbio za ubingwa kama ilivo kwa Zinny na Jesus
Hatuhitaji pongezi zako,umeukalia MKUYENGE pambana nao,this is GUNNERSHongereni Gunners, ule msako mlioupiga dakika 20 za mwisho ilikua haina budi mpate goli.
Saka leo ndio MoTM, huyu dogo akikutana na beki inayovuja kama Shaw hua anang'aa kwelikweli.
View attachment 2491891
Majamaa wameheshwa Sijawahi onaHuu msako aliofanyiwa man u, mara ya mwisho kuona MSAKO kama huu ilikuwa mwaka 2007, manzese darajani hapo, mwanajeshi alipigwa na kuibiwa simu
😂 😂 😂
Jinsi mnavyoshambulia city mtampiga nyingi labda muingie na uwoga.United was never a real test our real test is City
Lini uliona saka kapotezwa na beki, hata National TeamHongereni Gunners, ule msako mlioupiga dakika 20 za mwisho ilikua haina budi mpate goli.
Saka leo ndio MoTM, huyu dogo akikutana na beki inayovuja kama Shaw hua anang'aa kwelikweli.
View attachment 2491891
Mkuu uliona vile Zinny anacheza? Kuna mchezaji mwingine yoyote aliekuwa anakaribia confidence yake?Sorry nilizani Man.
Ila kuhusu kujiamini hapo nakataa brother msimu huu Arsenal wanajiamini mnoo,bila hivyo leo tusingekuwa hapa. Kuna timu za kuwa na wasiwasi nazo ila sio Man Utd,ukiniambia City sawa hawa pamoja na misimu ya nyuma Arsenal ilikuwa ya kawaida ila walikuwa hawatoki Emirates So MAN HANA TIMU YA KUMTISHA ARSENAL HANA.
Zinny na Partey misimu mitatu ya nyuma kabisa acha na wa mwaka jana na mwaka huu Arsenal tunampiga Man si walikuwa hawapo na Man akagongwa hapo.Mkuu uliona vile Zinny anacheza? Kuna mchezaji mwingine yoyote aliekuwa anakaribia confidence yake?
Pamoja na uwezo wa partey ambao kila mmoja wetu anaujua Umeona maboko aliyokuwa anayatoa leo?
Umeona kosa alilofanya Ramsdale katika goli la 2? Umeona Martinel alivokuwa anacheza Leo?
Wachezaji wetu wengi leo wamecheza chini ya kiwango kutokana na umuhimu wa game, walikuwa na pressure kuliko game ingine
Inawezekana leo ndio waliambiwa mbio za ubingwa zinaanza rasmi, ila Zinny ye kazoea miaka yote kukimbizana na Liverpool pale juu kwahiyo hana pressure kabisa
Na kuna uwezekano kama Zinny nayeye asingekuwepo hii game ingekuwa ngumu zaidi maana yeye ndio alikuwa anawaambia wenzie kuwa hawa wanakufa msiwe na mapepe
Pep saiz ndio ameanza ligi rasmi kwahiyo lazima tuwe na calmness na determination ya hali juu sana, huu ndio muda ambao Jesus alihitajika sana uwanjani
Martinelli toka atoke world cup naona kapoa, sioni siku hizi kumchukua beki, kumpakia.
Mudryk ulikuwa ni usajili mzuri.
Yote kwa yote point 3 zilikuwa muhimu
Kuna makosa mengi nadhani mwalimu kaona.
Partey zile goli 2 ni maboko yake.
Mbele kwenye umaliziaji kuna utoto utoto tumeufanya, ilipaswa iwe zaidi ya 3
Si mnatoka nao mtaa mmoja mngewaambia mechi ya leo mbadilishane baadala yenu wangecheza wao.Hivi imewezekanaje
Arsenal vs manchester united all rounds tayari.
Manchester united vs manchester city all rounds tayari
Kwanini mpaka leo city vs arsenal mjakutana hata mechi moja wakuu?
Sio mbaya acha niandae popcorn zangu izo mechi uzuri nyie wote tushamalizana sina habari na nyie tena na baki kuwacheki tu mtavyouana.
Tulishawaambia kwamba Saka hakabwi na beki moja. Wameshindwa kufanya home work yao.Lini uliona saka kapotezwa na beki, hata National Team