Na ikitokea tumebeba league kuna watu watasema tumebeba league kwa sababu ya majeruhi ya Liverpool na disintegration kwenye vilabu vya chelsea na man city.kwa man u na new castle watasema project bado haija mature"Hasa wachezaji watatu wa mbele" kuna mijitu inahoja za hovyo sana. Arsenal kuwa kileleni inawauma sana sana, matokeo yake wanaanza kutafuta sababu, bladifakeni!
Wanatuwangia sana hawa KengeNa ikitokea tumebeba league kuna watu watasema tumebeba league kwa sababu ya majeruhi ya Liverpool na disintegration kwenye vilabu vya chelsea na man city.kwa man u na new castle watasema project bado haija mature
Mechi nilikuwa siikosi hiyo, nitatoroka hata kwa kuruka ukuta nikaangalieWatu wanasahau kwenye miaka ya 2000-2005 big match ilikuwa ni arsenal na man unit.we are taking back our business.
Ilikuwa ni zaidi ya mechi, kushuka kwa hadhi ya mechi ya arsenal na manchester united ndo kulipelekea the rise of el classico kwa ukubwa tunaouona.Mechi nilikuwa siikosi hiyo, nitatoroka hata kwa kuruka ukuta nikaangalie
Usireason kwa vibe mkuu, andika fax, klopp anajua wazi attackers are the most important players on the field, they win you matches. Kwa timu isiyo na depth yetu au liverpool hata Spurs Kuna quality huwezi kureplace kirahisi wakati msimu unaendelea, mfano Saka & Martinelli, OR Kane / kulusevski, klopp knows best, umuhimu wa Diaz kwa liverpool ni sawa na Saka / Nelli. Sijajua amekosea wapi kudefend his team paka mnakuwa reactionary kiasi hicho.Kwa nini unalazimisha kutumia maneno "hasa wachezaji watatu wa mbele"?
Wachezaji ni wachezaji hata hivyo vilabu vilikuwa vikiongoza ligi sababu Arsenal alikuwa na majeruhi na small squad!
This season so far Partey, Zincheko, Tierney, Tomiyasu, Elneny, Smith Rowe, na Gabriel Jesus wameshakuwa majeruhi, ni majeruhi gani mnataka kuona? watu wakivunjika uti wa mgongo!
😂😂😂 hakuna bahati.Bacary Sagna alitembelea mazoezi ya Timu ilipokuwa Dubai, anasema alishangazwa na mazoezi yalivyo magumu na yenye Intensity ya hali ya juu tofauti na kipind akiwa Arsenal chini ya Wenger
Jack wilshere anasema pia , mazoezi yanayofanyika yamemshangaza anasema hajawahi kuyaona hata kipindi akiwa Arsenal
Jack Wilshere believes Arsenal’s training is more intense under Mikel Arteta than it was during Arsene Wenger’s reign.
Jack:
“I’ve never seen first team training at the level it is now. Even when I was there and under Arsene, it’s higher now."
“Mikel talks a lot about the fans and how big they are and again, the atmosphere is the best I’ve ever seen it.”
“I’m quite lucky because I’ve got a relationship with Mikel and I watch first team training all the time.
“He’s actually someone who inspired me to be a coach when I went back there last year. I always thought about coaching but I saw the way that he coaches and the level of detail that he goes into and he’s top.
View attachment 2489837
Kwa hiyo hao watoto wako ni zaidi ya haoWewe inabidi nikupe Ignore, ARV zimekuharibu akili
Trossard bado anacho cha kudeliver kwa umri wakeMikel Arteta:
"Leandro Trossard's age is not a problem, the squad can absorb a player of 28 years old. With the right experience, right versatility, right quality"️#AFC
"It is not that we had to sign 20, 21, 22 year olds for the next five years. That is not the plan".
Naona hakawii na mpira anatoa pass chap chap ila huko wanamwachia uwanja mzima aisee. Premier League jamaa si atakuwa pressed mpaka ajute kuja?Jakub Kiwior
Balaa kwa long balls
I think scout imemuangalia katika nyanja zote , kikos chetu hatuna beki anayepiga long balls kwa usahihi kwa Saka na martinellNaona hakawii na mpira anatoa pass chap chap ila huko wanamwachia uwanja mzima aisee. Premier League jamaa si atakuwa pressed mpaka ajute kuja?
Hizo longballs so poa saka jesus martinnel na trossard watapokea pass nying san toka kwa hiki kiumbe....WOW WOW mabeki wapembeni wa timu pinzani wakae mkao wa kula....kuna beki moja white hiv ipo crystal palace nayo ni shida game ya kwanza ben white alitaabika san kukaba sabb kila pasi ilikuwa inafika kwa winga wa palace aliomba maji sasa nass tumepata huyuJakub Kiwior
Balaa kwa long balls
Yule wa crystal Palace ni Andersen aisee hafai kabisa. Nilivyomuona nikataka aje kwetu acheze mbele ya centre backs wetu na nyuma ya Partey na Xhaka au Ode.Hizo longballs so poa saka jesus martinnel na trossard watapokea pass nying san toka kwa hiki kiumbe....WOW WOW mabeki wapembeni wa timu pinzani wakae mkao wa kula....kuna beki moja white hiv ipo crystal palace nayo ni shida game ya kwanza ben white alitaabika san kukaba sabb kila pasi ilikuwa inafika kwa winga wa palace aliomba maji sasa nass tumepata huyu