Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi niliwahi sema muda ni mwalimu mzuri sana. Nilisema hapa beki Hatuna depth ya kutosha unakishambulia kwa ujuaji mwingi mara sijui combinations and blah blah kibao.

una maoni Gani LCB kusajiliwa? Nikasema pia tunahitaji natural RB maana White is naturally RCB ukaleta kejeli kibao una maoni Gani na imminent arrival ya Fresneda?

Btw Arsenal inataka kusajili CM mwingine dirisha hili whether or not Kuna long term injury ilihali ulidai eti cjui CM hatuhitaji mtu Kuna elneny na Lokonga na blah blah kibao.

Next time punguza ujuaji ukiona maoni ya wengine yanakinzana na Yako.
 
Hahahahahah aisee vipi unazungumziaje ujio wa Kiwior na Fresneda? 🤣🤣 Kwamba usajili wa LCB na RB hawakujua haya unayoongea??

Kejeli kibao kumbe hamna mnalojua kuhusu Mpira. Next time tukitoa maoni kuweni humble.
 
Umeweka vema sana mkuu 🤝

Kuna mahali nilikuwa nasoma tuna tetesi za Camavinga?
 
Siyo mpoland ni mchaga huyo anaitwa KIWIA 😂🤣
 
Wewe siwezi kukujibu ,maana unatafuta kubishana na mimi

Siingii kwenye huo mtego
 
Habari za kamavinga ningeshauri tuachane nazo sabb kiuhalisia camavinga ni super sub ya madrid sio rahs sio rahc
Hana namba na yeye anataka muda wakucheza ,ndio najiuliza ,hata akija Arsenal ,bado sion akianza mbele ya Xhaka ,

Bado atabaki sub tu

Japo Arteta anamuona kama Sub ya muda mfupi ya Partey

Lakini bado sion na Arsenal akipata dakika ,kama ndio kinamkimbiza madrid
 
Umeweka vema sana mkuu


Kuna mahali nilikuwa nasoma tuna tetesi za Camavinga?
Mi mwenyewe naona, ila bado tunasubiri credible sources like Fabrizio Romano,James Benge, David ornstein and Di Marzio. Watoe taarifa au updates kuhusu CAMAVINGA ndio tutaamini.
Na kama ikitokea ni kweli, basi aje kama captain America martin odegaard alivyokuja kisha tumsaini jumla summer window. Binafsi nitafurahi mno.
 
Simmon collings mbona huyu ni Reliable kwa habari za Arsenal ,anatokea Standard sport

Yupo pale kwa habari za Arsenal ,

Ninachojiuliza Kinachotaka kumtoa madrid si hapati muda wakucheza

Swali, Kwa Arsenal ndio atapata muda ? Au kashagombana na Don Carlo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…