Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msim huu msipochukua hii league itabidi mchapwe fimbo.

Man City wako predictable sana, sio City ya misim iliopita
japo mimi naamini KDB SILVA NA FODEN wanaweza kuja kubadili matokeo pia wangeweza kubadili matokeo iwapo wangeanza .
 
Kwa msimu huu city ni wabovu compare miaka miwili ya nyuma, wachezaji wako axausted akiwemo Kelvin De Bruyne na wenzake. Hii haitaji hata kuielezea sana, matokeo na uchezaji wao unaonekana. Na mwanzoni pia nilitahadharisha dependecy walioweka kwa mfungaji mmoja ambaye ni Haaland utakuwa na madhara sana kwa City kwa sababu
  1. asipokuwa kwenye form,
  2. akienda majeruhi au
  3. wenzake wakigoma kumpa ushirikiano,
timu imekufa. Ndicho kinachotokea taratibu sana
City ataendela kupoteza mechi moja moja na au kutoa sare kitu ambacho itaendelea kuwapa ninyi Arsenal advantage.
Mimi nabashiri hata Man u au Newcastle wanaweza kumpiku city kwenye second position, hadi tufike March, City atakuwa kwenye 3 au 4. Take my word IMO
Nilichokisema ndicho kinatokea, Spusr hawako kwenye form lakini wamewafanya city sasa kwa dk 45 zilziobaki wafukuze mpira wakitafuta comeback ambayo rare kutokea na wakijitahidi sana kurudisha ulimi utakuwa umewatoka kiroho mbaya. City ya msimu huu ni wabovu sijui hata hapo juu wamefikaje
  1. De Bruyne hayuko kwenye form
  2. Mabeki sio wazuri, unamtegemea Ake kweli
  3. Utegemezi mkubwa sana umewekwa kwa Haaland, akibanwa ndio zero. Na Spusr naona wamekamia kumbana Haaland kweli
City wakijitahidi hii game wamedrop points na wataendela hivi hadi msimu uishe, Mimi msimu huu siwanoni City kama ni Genuine title contender, Newcastle ni afadhali wako determined kupata matokeo sio hawa City.
 
Unaangalia mechi?
 
Unachoongea ndio uhalisia ,sema wengi wetu tunaangalia mpira kimazoea
 
Ulichoongea ndio uhalisia ,

Nakumbuka mlivyomtaka Ake nilishangaa sana , Ake sio Class ya kina Laporte au Dias , Ake ni mchomaji mzuri tu
 
Unachoongea ndio uhalisia ,sema wengi wetu tunaangalia mpira kimazoea
Na wako humu hawaangalii kabisa wamezoea kukariri kuwa PEP mzuri, City ni wazuri bila hata kufuatilia wanavyocheza. Kwenye text streaming media wakiona City ana miliki 60% wanaona kuwa wanacheza vizuri. Tunasema tena Arsenal fursa yenu ya kubeba kombe ni msimu huu, mkiendelea hivi, hadi March kutakuwa na title contender mmoja tu.

City wangekuwa na majeraha 11 kama ya Chelsea wangekuwa kwenye nafasi ya 15 labda
 
Arsenal mkitufunga nje ndani ,chukueni epl ,hatupo kwenye form lakin kuweni makin washika bunduki

Tulishawahi kimbizana na Liverpool point 1....
City hamuwezi kumfunga Arsenal kwa quality ya msimu huu labda Arsenal akumbwe na majeruhi ya wachezaji muhimu kama Partey, Xshaka nk
 
Back
Top Bottom