makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,973
- 104,424
Beki 2, anacheza real valladolid kama sikoseiFresneda ni nani tena huyo? 😄😄
Beki 2, anacheza real valladolid kama sikoseiFresneda ni nani tena huyo? 😄😄
Beki no.2 miaka 18 , Timu kibao zimeweka kambi zinamuhitajiFresneda ni nani tena huyo?![]()
Arsenal have all but sealed the transfer of Fresneda. Arteta personally called the player & convinced him. Remains to be seen if he joins immediately or is loaned back. Arsenal took advantage of Madrid stalling as Ancelloti had doubts
Arsenal want to make an offer for Fresneda before next week and try to get him in this season itself
️
Arsenal still want to sign a midfielder and a right back. [@FabrizioRomano]Iván Fresneda kijana wa miaka 18 mzaliwa wa Madrid, anayechezea Rayo Vallecano akicheza kama beki na mbili.Fresneda ni nani tena huyo? 😄😄
Naona White akirudishwa CB ,Iván Fresneda kijana wa miaka 18 mzaliwa wa Madrid, anayechezea Rayo Vallecano akicheza kama beki na mbili.
Anaweza pia akacheza kama Zincheko , maana ana talent ya hali ya juu.
then saliba?Naona White akirudishwa CB ,
Gunners mnaonaje hili wazo la kumchukua huyu dog (japo simjui)? RB si tuna Tomi na White? Au ni Kwa sababu huenda tukamtoa Cedric? Nimesoma mahali huku kwamba maeneo ya shida ziadi ni winger/forward, ambapo tumepata trossard , mbadala mwingine wa Partey na mbadala mwingine wa Gabriel. Sikuwahi kusoma kama RB na LB ni position za shida kwetu.Beki no.2 miaka 18 , Timu kibao zimeweka kambi zinamuhitaji
Juventus
Madrid
Newcastle
Chelsea (Kwa mbali)
Arsenal
Referrence
Arsenal have all but sealed the transfer of Fresneda. Arteta personally called the player & convinced him. Remains to be seen if he joins immediately or is loaned back. Arsenal took advantage of Madrid stalling as Ancelloti had doubts
(@eldesmarque)
Arsenal want to make an offer for Fresneda before next week and try to get him in this season itself
(@PucelaNews_1928 )
Aaron Arsenal , White ni kipaji kimoja cha hali ya juu na kazi chafu anaiweza. Sijui kwa nini Waingereza wanamchukulia poa ?Naona White akirudishwa CB ,
Watabadilishana ,then saliba?
Naona tunaongeza depth maeneo yote, next season tuwe na vikos viwili vyenye qualityGunners mnaonaje hili wazo la kumchukua huyu dog (japo simjui)? RB si tuna Tomi na White? Au ni Kwa sababu huenda tukamtoa Cedric? Nimesoma mahali huku kwamba maeneo ya shida ziadi ni winger/forward, ambapo tumepata trossard , mbadala mwingine wa Partey na mbadala mwingine wa Gabriel. Sikuwahi kusoma kama RB na LB ni position za shida kwetu.
Ile timu sijui Southgate ana akili za wapi, angalia mechi na ufaransa, Saka kashamu win Hernandez ,yeye anamtoaAaron Arsenal , White ni kipaji kimoja cha hali ya juu na kazi chafu anaiweza. Sijui kwa nini Waingereza wanamchukulia poa ?
Ile timu sijui Southgate ana akili za wapi, angalia mechi na ufaransa, Saka kashamu win Hernandez ,yeye anamtoa
Ben white ndio maana aliamua kusepa kambini, bado wanawachukulia poa wachezaji
Akina Neville hao na kocha wa England geti la kusini wanamchukia. Angekuwa unyumbuni sasa. Unaona promo la Shaw?Aaron Arsenal , White ni kipaji kimoja cha hali ya juu na kazi chafu anaiweza. Sijui kwa nini Waingereza wanamchukulia poa ?
Tumeona transition za vilabu mbali mbali, club kama Man City wakati Gurdiola anachukua team, Jurgen Klopp akiichukua Liverpool. Lakini hii ya Chelsea imekuwa ghafla sana "We shall see". ChelseaMashabiki wa Chelsea wanaamini watakua on fire kwakua wana Felix, Madueke na Mudryk.
Lakini ni juzi tu walikua wanaamini watakua on fire kwakua kuna Werner, Ziyech na Havertz.
Kwa kipindi hichi ambacho Felix, Madueke na Mudryk wanajiunga Chelsea nani ana magoli kumfikia Werner wakati anajiunga Chelsea?
So hapa wanajifurahisha tu but these guys sooner or later will learn
Naona pia wanavyomfagilia BissakaAkina Neville hao na kocha wa England geti la kusini wanamchukia. Angekuwa unyumbuni sasa. Unaona promo la Shaw?
Kisa Nini Hadi ajikombe?Jamaa amekua kama anajikomba