Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Nimeona aise, nyie jamaa mmeshindikanaDeal la madueke tushamaliza.
Tuhamie sasa kwa Moises Caicedo
Nimeona aise, nyie jamaa mmeshindikanaDeal la madueke tushamaliza.
Tuhamie sasa kwa Moises Caicedo
Kina fabrizio wamepewa taarifa leo, Arsenal walitaka kuepuka vurugu za chelseaUnaambiwa Trossard kazikataa timu mbili nadhani na fisi alikuwemo. Na inaswemwa deal Arsenal walilikamilisha jana
Tafiti niliyofanya Orkun Kokcu wa Feyenoord anawapita hao wote na nafikiri hatazidi hata mil 50. Nimefanya little reserach udhaifu wake mdogo tu ni kwenye kuwania mipira ya juu, na defending sio mzuri ila kwenyeCaicedo ile CM hatari sana, kuna Enzo Fernandez ,,wote Liverpool anawatolea macho tu ,Tajiri miluzi kawaweka pending
Sitanii, ndio namsikia leo.Ni kweli hautanii?
Aisee naangalia lakini sio kwa kukariri wachezaji wa mid-table teams.Humjui Trossard? Huangaliagi mechi za epl za timu nyingine
Livernyeto vip?Arse8 hamjambo?
Binti wewe hujambo?Arse8 hamjambo?
Arse8 msiponyanyua kwapa mwaka huu basi sahauni kuja kuchukuaBinti wewe hujambo?View attachment 2488029
Tutakunyanyua wew mremboArse8 msiponyanyua kwapa mwaka huu basi sahauni kuja kuchukua
Hapa mmeula, shida yake huwa ni kiburi tu na ndio kilichomfany akagombana na De ZerbiTrossard against Big 6...[emoji123]
[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ vs Liverpool
[emoji460]️[emoji460]️ vs Man City
[emoji460]️[emoji460]️ vs Chelsea
[emoji460]️[emoji460]️ vs Spurs
[emoji460]️ vs Man Utd
[emoji460]️ vs Arsenal
Big game player[emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi hili Jina nani ameidhinisha kutumika?Arse8 hamjambo?
Na mi nataka kumnyanyuaTutakunyanyua wew mrembo
Subir may tumfate mbeya....Na mi nataka kumnyanyua