Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Caicedo ni kama Renato Sanches

Mwaka ule nasema tunamhitaji Renato watu walikua hawajamuona Caicedo, lakini Renato angekua yupo pale hata tusingemshangaa sana Caicedo.

Hata hivyo nawaza ikiwa De Zerbi yupo radhi kumpoteza Trossard na Caicedo kwenye dirisha moja tena anawauzia wapinzani.
 
Told Brighton and Arsenal reached agreement on a deal worth £21m in guaranteed fees with a further £5m in add ons. Trossard due for medical shortly, Gunners pushing to get this done in time for midday tomorrow. That's viewed as unlikely but not impossible.
 
Mm namfahamu kwa machache sana na sjamfatilia sana
Ambagile anamfahamu
20230119_202555.jpg
 
Back
Top Bottom