Arsenal (The Gunners) | Special Thread

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ETG kuna kitu anakileta Utd, ile ya zamani si mishahara mikubwa. Suala la discipline ETG ana falsafa kama za Pep & Arteta. Discipline ikiwepo mafanikio yanakuja mbona mlijitoa kwenye deal la Joao Felix wakati huwa mnamwaga noti?
 
Amegoma kuongeza mkataba , Mkataba wake unaelekea mwishon ,hivo westham watamuachia kwa Β£70m tu
 
Msiposajili dirisha hili kwa hicho kikosi finyu mlichonacho hata hio top4 kuingia itakua ni bahati nasibu.
Wewe jamaa kwa kutupigia ramli tu hujambo

Mlisema baada ya world cup tutapoteana ,mkasema kuumia kwa Jesus tutapoteana ,mkasema tuna ratiba ngumu


Sasa mnasema tuna kikos kidogo ,

Arsenal wanajua wanachokifanya sio wajinga , ile ni project ,wana plan A-D

Kwenye backline kuna option kila namba ,

Ni eneo la mbele ndio bado tupo Active dirisha hili

Hapo tayari Smith Rowe karejea , Jesus yupo njian kurejea
 
Nyie vilaza mnapenda kudanganyana, mchezaji akishamtaka Arteta basi mtampamba mwishowe akiwatosa mnaanza kulalamika hana thaman ya price tag aliyowekewa. Kama huyo Rice ni mchezaji wa hovyo kbs, ila misukule mnavyodanganyana sasa dah!
 

Gary Neville na Flano kila siku wana sababu mpya
 
Halafu huyu jamaa anafungaga magoli ya maana Sana,Yaani goli zake huwa zinatuokoa Sana.

Kuna muda huwa namfananisha na Chicharito wa Man Utd ama Edin Dzeko wa Man City....Hawa jamaa walikuwa wanazifungia timu zao mabao muhimu Sana( waokoa jahazi).
 
HILI DILI WAVAMIZI WAMESHAKUWA WENGI,

CHELSEA, NEWCASTLE , MAN U, MADRID ,

Manchester United have joined Newcastle and Arsenal in the race to sign Real Valladolid right-back Ivan Fresneda. United are now pushing to get Fresneda this month, he has a release clause of Β£8.8m. #MUFC [@SportPeteO, @footyinsider247]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…