Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,839
Sisi tumekuwa tukishinda mechi zetu bills huyo Mudryk na tutaendelea kushinda bila yeye.Nyie kubalini kawatosa, acheni mambo meeengi, mlijiaminisha wenyewe kw wenyewe humu kua eti mchezaji anaipenda Arse888 tangu lini mchezaji akaipenda timu isiokua na mafanikio.
Huyo mudryk kw uspesho gani aliokua nao mpk nchi ihusike. eti wapewe donation kisa mudryk!! Amekua messi. Muachage kudanganyana nyie misukule ya Arteta.
Ndio hivyo hivyo mlidanganyana humu mudryk anaipenda Arse888.
Mwaka nne hujawahi kupata hata droo Emirates,wewe jiandae kupasuka.ANGALIZO: mcheze karata zenu Vizuri, maana mkiukosa huu ubingwa msimu huu, basi ndio msahau kabisa labda muwe mnapigania top 4 na kushiriki UEFA na kushinda maybe kombe lenu la FA.
Na mjue baada ya kumnyoosha
crystal palace, keshokutwa. Basi hiyo jay pili hapo Emirates msidhanie mtanizuia kuendelea kubeba point zangu 3, maana kazi ya rashford mambio mnaijua na ana goli zake hapo emirates.
Basi achen kuteseka kw kumkosa. Mana wengine wanakwambia huko alipoenda ataflopp, eti Arse888 ndio angeshine.Sisi tumekuwa tukishinda mechi zetu bills huyo Mudryk na tutaendelea kushinda bila yeye.
Hivi Sasa tunajiandaa kuchukua points zingine 3 kutoka kwa Manyumbu siku ya Jumapili.
Kwnini tuteseke na mtu ambaye hata hatujaona mchezo wake kwenye EPL? Ndio kwanza amesajiliwa tu juzi hajacheza hata mechi ya kirafiki a kuonyesha uwezo wake kwanini tuumie?Basi achen kuteseka kw kumkosa. Mana wengine wanakwambia huko alipoenda ataflopp, eti Arse888 ndio angeshine.
west ham sio wahuni kama wale Jamaa wa UkrainSam Dean (Reliable kwa habari za Arsenal) kutoka Telegraph nae kathibitisha
Swali langu tu ,Chelsea hawatatufanyia fujo hapa kweli?
Rice atapatikana kwa £70m tu ,
View attachment 2483902
GM6 kuna muda walikua wanatukanana pia na Richarlison,Jana game dhidi ya Tottenham, martineli alienda kupiga kona, akamkuta richarlison, akamp hi(ni 5 [emoji2936]) kama sikosei,
Jamaa hakupokea alimtizama kama hamjui vile..
Richarlison kafanya tendo la kishamba mnoo
Aliumuka yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana game dhidi ya Tottenham, martineli alienda kupiga kona, akamkuta richarlison, akamp hi(ni 5 [emoji2936]) kama sikosei,
Jamaa hakupokea alimtizama kama hamjui vile..
Richarlison kafanya tendo la kishamba mnoo
Mudryk was posting loads about Arsenal on Instagram before joining us, yet hasn’t posted a thing since signing for Chelsea. Something not right about how that all went down. Reckon he’s been told where to go and there are some politics involved.Basi achen kuteseka kw kumkosa. Mana wengine wanakwambia huko alipoenda ataflopp, eti Arse888 ndio angeshine.
Usukute hats mudryk mwenyewe Hana furaha, maana simuoni akipost chochote kuhusu kwenda Chelsea
Halafu huyu mwamba kuna siku nilikuwa nacheki game, nikataka niwaulize huyu diaby vipi au nyota hana?'According to Sky information, Leverkusen's Moussa Diaby is a topic at Arsenal. The 23-year-old Frenchman is under contract with the Werkself until 2025, so it should be expensive.' [@SkySports Germany @Sky_Marc]View attachment 2483959