juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Chelseq now iko free haina deni lolote,si mpo kwa Nodi mukiele ?
Nyie jamaa mnazingua Sasa,nasikia Kuna beki ipo Sporting ,Spurs anajiandaa kumbeba , mnataka ku hijack
Ila Toddy hizi hela anatoa wapi?
Pep miaka Saba katumia €1B
Toddy miez 6 €500m na anasema hapo Bado
unakumbuka hii ya 23 March 2014Hawa dawa yao ni kuwanyuka bakora nne wakija Emirates kupunguza hasira
Duuhhunakumbuka hii ya 23 March 2014
Chamberlain alidaka mpira, naona hiyo ikijirudia 29 April 2023
Line up yetu itakuwa 4-2-3-1 - Majeruhi wote watakuwa fit na ninyi mnaijua Chelsea iliyotimia ilivyo haina huruma
--------------- Thuram---------------
Mudryk -------- Felix ----------- Sterling
--------Denis ------------ Kante-------
Chilwell --- Badiashile --- Silva --- James
---------------Kepa---------------
.Ila rambo ramsdaye ana keraaaaView attachment 2483197
Kuna tetesi nimeziona kwenye page ya Fabrizio Romano, anadai baada ya kukamilika usajili wa Mudryck muda wowote kuanzia sasa Aaron Arsenal atahama Arsenal na kuanza kushabikia The Blues.Nketiah kakua sana, ana mpira wa kikubwa
Zile block mbili alizofanya kipa moja ingeingia basi nketiah angeweza kua man of the match
Work rate, Jesus kambadilisha sana nketiah
hata hivyo yeye sio wa kwanzaKuna tetesi nimeziona kwenye page ya Fabrizio Romano, anadai baada ya kukamilika usajili wa Mudryck muda wowote kuanzia sasa Aaron Arsenal atahama Arsenal na kuanza kushabikia The Blues. View attachment 2483260
Mchezaji katokeza kama hajiamini vile...Kuna tetesi nimeziona kwenye page ya Fabrizio Romano, anadai baada ya kukamilika usajili wa Mudryck muda wowote kuanzia sasa Aaron Arsenal atahama Arsenal na kuanza kushabikia The Blues. View attachment 2483260
Namhusudu saana partey.. Mie mchezaji akiwa mnyumbulifu ananivutia, kama anapiga, anafinya, anareceive mpira huku katizama adui anakujaje, akija kushoto, anaturn kulia, halafu anapiga pasi sumu.Tony Adam anasema Partey ni combination ya watu wawili (Vieira & Petit) ndani ya mtu mmojaView attachment 2483051
Huyu jamaa nahisi kuna screenshot yake iliwahi tembea akiwakandia Arsenal msimu huo akatoa hoja laini kweli kweli.Repost George Ambagile Tottenham v Arsenal
.Arsenal wanacheza kibingwa sana , wanakupa picha zote mbili pale wanapohitajika kufanya hivyo ... wakiamua kushambulia wanakuwa hatari , wakiamua kuzuia wanakuwa na shape nzuri sana ya uzuiaji ... they are so good
.Kipindi cha kwanza utasema Wanaume Vs Wavulana , jinsi Arsenal walivyowaonea Spurs . Arsenal walifanya vitu vingi kwa usahihi
1: Kushinda mpira wa kwanza hasa ya juu
2: Kushinda mpira wa pili
3: Passing
4: Kuweka presha kwenye mpira haraka sana pale wanapopoteza ( Counter pressing )
5: Shape yao ya uzuiaji pale waapokuwa na mpira ( rest defense )
6: Mpambano wa kimwili walikuwa wanawatoa njiani kirahisi sana Spurs
7: Kumiliki mchezo kwa utulivu ( Control )
.Wazuie Arsenal kwenye chanzo cha ujenzi wao wa mashambulizi ( stop them at source ) na hiko chanzo ni Zinchenko na Partey lakini sio rahisi sana bali inawezekana kama Spurs walivyofanya kipindi cha pili , ukiruhusu Arsenal watulie ( Settled possession ) na kufika phase ya tatu ya mchezo ( kwa Saka Odegaard Martinelli Nketiah na Xhaka ) utakuwa na kazi ngumu sana ya kuwazuia , they are dangerous
.Spurs kipindi cha pili walifanya kile ambacho hawakufanya kipindi cha kwanza :
1: Weka presha kwenye mpira
2: Pasia mpira vizuri
3: Shinda mpira wa pili
4: Runners kwenda mbele
Lakini shida kwao ni kwamba kila swali walilouliza kwa Arsenal lilipatiwa majibu sahihi
NOTE
1: Saka akiwa na mpira mguuni , kumpokonya kazi sana na leo movement zake ni kuomba mpira mbele ya Sessegnon na kuingia ndani
2: Odegaard " THE TECHNICIAN " huyu nimesema sana
3: Partey after Parteyshilingi sita inayopora mpira na kupiga pasi mithili ya namba 10
4: Kilichomtuma Pep kuwauzia Arsenal Zinchenko atajuta , yule Bro kama ana sumaku
5: Aaron Ramsdaletop saves
6: Kwanini Conte alimuacha Bissouma kwenye benchi ?
7: ENDELEENI KUKARIRI , WENYEWE SHIDA YAO SIO UBINGWA BALI KUSHINDA MECHI INAYOFUATA TU HALAFU TUKUTANE MEI 2023
FT : Spurs 0-2 Arsenal
Dogo Kaprovee SanaNketiah kakua sana, ana mpira wa kikubwa
Zile block mbili alizofanya kipa moja ingeingia basi nketiah angeweza kua man of the match
Work rate, Jesus kambadilisha sana nketiah
Chelsea ya Tuchel imefungwa na Arsenal, ya Lampard same, ya kabla ya Lampard.unakumbuka hii ya 23 March 2014
Chamberlain alidaka mpira, naona hiyo ikijirudia 29 April 2023
Line up yetu itakuwa 4-2-3-1 - Majeruhi wote watakuwa fit na ninyi mnaijua Chelsea iliyotimia ilivyo haina huruma
--------------- Thuram---------------
Mudryk -------- Felix ----------- Sterling
--------Denis ------------ Kante-------
Chilwell --- Badiashile --- Silva --- James
---------------Kepa---------------
Nahis unamsema George Job wala sio huyu.Huyu jamaa nahisi kuna screenshot yake iliwahi tembea akiwakandia Arsenal msimu huo akatoa hoja laini kweli kweli.
Hawa ni watu wanasababisha sina hamu na mpira wa Tz
Ukitaka kujua kama bongo hakuna wachambuzi basi wazungumzie game ambayo inaenda kuchezwa, au timu imesajili, inajiandaa kwenye ligi.. Ndio utajua hatuna wachambuzi wa mpira bali wachambua mchele.Huyu jamaa nahisi kuna screenshot yake iliwahi tembea akiwakandia Arsenal msimu huo akatoa hoja laini kweli kweli.
Hawa ni watu wanasababisha sina hamu na mpira wa Tz
Lolote linawezekana ni muda umepitaNahis unamsema George Job wala sio huyu.