Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kaka, sisi tunadili na mechi zetu tu hao wengine watajuana wenyewe huko mabonde kuinama
 
Ningekuwa karibu na huyu aliyeandika huu ujinga ningemzaba vibao. "Playmaker ya utopolo haijapishana sana na Messi" Labda messi wa Manzese kwa mfuga mbwa.
Msamehe bure.. Wameshinda furaha ya ushindi mda mwngne unapitiwa na kujisahau unacho ongea.
 
"We don't care about the other teams."

Martin Odegaard says Manchester City's result yesterday means nothing to Arsenal with their focus on the derby
Ari waliyonayo wachezaji wa Arsenal kwa sasa ni kupambania badge hayo masuala ya ubingwa yanakuja baadae kwa kucheza vizuri nakushinda kila mchezo unaofuata si kwa papatu papatu.
 
Yani tumekaa tunamuangalia Partey, halafu kuna mbugila mmoja anaongea kuhusu casemiro..

Yani sisi tunakula birihani, yeye anatuletea ugali wa muhogo.

Nasema hivi, Partey mmoja ni sawa na maCasemiro 1000!
Hawa jamaa na pira lao la butua butua dawa yao iko jikoni, iki kikombe kila mmoja lazima akinywe atake asitake
 
Huna akili tena jipige kifuani zaidi ya mara 3 mfululizo ukijipongeza ulivyo Mpumbavu.

Lini Man City ilizidiwa pesa za usajili kwa timu yoyote pale EPL tangu Pep Kipara aje?

Inamaana Man City walikuwa ni wabovu kuliko Man Utd, Liverpool, Chelsea na Tottenham ndiyomaana ilikuwa ikitumia kitita kirefu kwa usajili kila mwaka hadi ilifikia hatua FIFA walitaka kuishtaki Man City kwa kutumia pesa za usajili kuliko kipato chao?

HP kaikuta Chelsea ikiwa nafasi ipi na ina Wachezaji wapi wa kuleta matokeo chanya?

Kipi kilichonfukuzisha TT ikiwa Chelsea ilikuwa na Wachezaji bora kimatokeo?

Timu ipi 2022/2023 iliyopatwa na Majeruhi wengi zaidi ya Chelsea FC?

Unawaaibisha washabiki wenzio wa Arsenal kuonekana hawana maana sababu tu ya akili zako kukosa afya za akili.
 
Arteta (Missing out on Mudryk) “Am very happy with the players I have. The window is open, we will try and improve the team and the club is willing”
 
Arsenal players this season:

Odegaard 8 goals 5 assists
Martinelli 7 goals 3 assists
Saka 7 goals 7 assists
Nketiah 7 goals 1 assist
Jesus 5 goals 6 assists
Xhaka 4 goals 4 assists
Vieira 2 goals 4 assists
Nelson 2 goals 1 assist
Saliba 2 goals 1 assist
Gabriel 2 goals
 
Kulikuwa na tukio la Golikipa wa Arsenal, Aaron Ramsdale ambapo alionekana akigombana na Richarlson wa Tottenham na baadae akapigwa teke mgongoni na Shabiki wa Spurs.

Kwenye interview anasema Mashabiki wa Spurs walianza kumsema mbovu wakati mchezo unaendelea, hivyo nae alilipa baada ya dakika 90 kwa kwenda kubusu beji ya Arsenal mbele yao, anashangaa wakageuka wakali na kusahau walichomfanyia awali.
 
computerarsenal msikilize alichosema Ian Wright


Love Ian Wright’s analysis on the Mudryk saga.

Says Arsenal have a set plan & so far the plan is working so well that there was no need deviating from it by paying over the odds. Also thinks paying so much in fees and wages for the player has the potential of disrupting the group
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia elfu,but tuombe hawa viongozi wafanye usajili mzuri January hii tuna strong 11 squad but benchi ndio weak kwa goal keeper na defenders bado rotation ipo ya kutosha, kwenye mid na forward hapa ndipo panapostahili kuboreshwa for example sawa tuna Vieira sio mbaya sana na smith Row ambaye bado hayupo fit na Nelson ambaye hatabiriki ,ila nawaza replacement ya Odegaard Xhaka Martinelli Saka ni nani?sioni kwa sasa
 
Arteta kasema Bado wapo sokon

Alete watu wawili ,Winger na Kiungo ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…