Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mudryk angekuja tu kumaintain standard, ndio maana naona kumkosa itatuathiri ONLY IF ataumia Saka / Martinelli, ni wachezaji wachache wanaoweza kukupa output ya Saka & Martinelli but the Current Arsenal are better with or without Mudryk.Mfano Mudryk angekuepo leo angeweza ongeza nini katika hiki tulichofanya?
Sawa mkuu naheshimu maneno yako, me nimesema walichosema Wright na BarbatovSiokweli ,Zinny Ni press resistant
Anajua sana huyu mwamba, ni kati ya wachezaji wachache wanaoweza simama hadharani kupiga kelele kuwa ana kipaji na dunia ikakaa kimya bila kuhoji
Spurs wanatakiwa wafanyiwe usafi kama Chelsea inavyofanyiwa usafi sasa hivi kutoa takataka na kuleta vipaji vipya, la sivyo hata umuweke Kocha yupi bado tu utaendelea kuona Makocha hawafai.Tottenham hotspurs wamtafute Roberto De Zerbi kabla ya jua kuzama.
Sioni project ya maana kwa huyu antonio conte
Data zinaongea ,Ndiye mchezaji anaye win possession ,duel za kutosha ,Sawa mkuu naheshimu maneno yako, me nimesema walichosema Wright na Barbatov
Huwa tunasema Xhaka Partey hi pivot Ni nzuri, ila Kuna mechi wanazidiwa ,ila ongezeko la Zinny linafanya tu possess Sana mpira katikatiAnajua sana huyu mwamba, ni kati ya wachezaji wachache wanaoweza simama hadharani kupiga kelele kuwa ana kipaji na dunia ikakaa kimya bila kuhoji
Nakubaliana na wewe kwa role anayocheza Zinchenko yupo bora bora bora but weakness yake ni hyo uliyomention but unajua why season hii tupo bora?kwa 11 eleven yetu hakuna eneo lenye upungufu abadani hakuna that's why hata makosa yake hayaonekani na Spurs second half walikuja na mashambulizi upande wake karibia muda wote but wakakuta tumejipanga mpaka kwa Ramsdale boySawa mkuu naheshimu maneno yako, me nimesema walichosema Wright na Barbatov
Ni mashabiki wa Chelsea tu mnaoamini kuwa Conte & Mourinho bado wana uwezo wa kusumbua dunia, kwenu kusajili wachezaji kila siku ndio solution ya kila kitu, Klopp anasema usajili hauwezi kutatua matatizo yote ya uwanjani, imagine umetumia €300m dirisha moja afu upo nafasi ya kumi. na upo hapa unapreach Conte kakosa wachezaji, like seriously spurs haina wachezaji wakushinda game za Fulham & Brighton? That's ultra nonsense.Spurs wabatakiwa wafanyiwe usafi kama Chelsea inavyofanyiwa usafi sasa hivi, la sivyo hata umuweke Kocha yupi bado tu utaendelea kuona Makocha hawafai.
Kumbuka Pep Kipara alipokuja awali aliikuta Man City ikiwa Bingwa mtetezi wa EPL na pia imetoka katika hatua ya nusu fainali ya UEFA, ilisajili Wachezaji 9 msimu wa kwanza japo wanne wote walichemka (Kipa + Nolito + ....) na kumaliza ligi ikiwa nafasi ya 3 kimsimamo.
Msimu wa pili Mwa-City ilisajili tena Wachezaji 11 ndipo ikatwaa ubingwa wa EPL.
Mpira wa sasa hivi ni pesa, huna pesa utaendelea kuweweseka tu na ndicho kinachompata sasa hivi Liverpool, timu kubwa, Kocha mzuri lakini Matajiri wabahili kuliko Waha na Wapare (utani)...
Ndio mkuu, game ya leo amefanya makosa mawili ambayo yote yalisababisha tot kupata shot on target na Aaron akatusalimishaNakubaliana na wewe kwa role anayocheza Zinchenko yupo bora bora bora but weakness yake ni hyo uliyomention but unajua why season hii tupo bora?kwa 11 eleven yetu hakuna eneo lenye upungufu abadani hakuna that's why hata makosa yake hayaonekani na Spurs second half walikuja na mashambulizi upande wake karibia muda wote but wakakuta tumejipanga mpaka kwa Ramsdale boy
Next game Thursday nipo SPURS SPURS hata draw inawatosha COME ON SPURS nipigie Guardiola
Ningekuwa karibu na huyu aliyeandika huu ujinga ningemzaba vibao. "Playmaker ya utopolo haijapishana sana na Messi" Labda messi wa Manzese kwa mfuga mbwa.with all due respect ,messi ;kwenye role ya playmaker.. football brain yake haijapishana
sna na ødegaard.
Aaron Arsenal mimi naona ni sera,falsafa,utamaduni wa Arsenal kwenye kusajili na wamesima kwenye mpango mkakati wao. Sidhani kama mashabiki na wadau wa Arsenal wanapaswa kuwa kama "baby crying crumper". Timu kuwa kileleni si lazima kusajili pasi na kuwa na "the right player at the right moment " na "reasonable price".Fabrizio romano :
"Kile Arsenal walifanya leo walipojua kuhusu Chelsea kusafiri kukutana na Shakhtar ili kulipa na kufikia na kukubaliana na kujaribu kumshawishi Mudryk, Arsenal hawakuwa na hofu. Arsenal wamebadili mtazamo wao kwenye soko la usajili. Arsenal hawajajibu chochote. ; Arsenal hailipi kupita kiasi.
"Arsenal wako wazi sana: Wanafanya kile wanachofikiri ni kile wanachopaswa kufanya. Kwa hiyo wanafanya wawezavyo. Walitoa Alhamisi alasiri euro milioni 70, pamoja na milioni 25 kama nyongeza kwa Mudryk. Ni pesa nyingi, ni pendekezo kubwa sana. Kisha Shakhtar akaamua kusubiri Chelsea wapate pesa zaidi.
"Kwa Arsenal, sio suala la kulipa kupita kiasi au labda kujibu. Wana maono, wana mkakati, na kwa hivyo waliamua kusema, 'hii ni bora yetu. Ikiwa mchezaji anataka kuja na Shakhtar anataka kukubali ofa, tunafurahi. Vinginevyo, tutafanya kitu kingine.
"Kwa hivyo Arsenal wana mtazamo tofauti, lakini hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mmoja uliopita na Dusan Vlahovic. Arsenal hawakutaka kuingia kwenye pambano lolote. Sawa na Locatelli, Martinez, na Raphinha msimu uliopita wa joto alipoamua kwenda Barcelona na kutokubali Chelsea au Arsenal."
Haitakuwa marudio ya dirisha la Januari mwaka jana. Dau ni kubwa na nina hakika edu anatupikia kitu. Mpango wa Mudryk sio mwisho wa dunia.