Wekelea kanyau. Haya tuendelee. Mdogo mdogo. Kama nani vile? Yes. Leicester.
Wakubwabwaja waendelee. Siye mdogo mdogo mpaka mwisho.
Hongera Gunners wote.
Trully we deserved this win.
Next?
C O Y G
Kama unacheki mechi utaona Son na Kane wamekosa clear chance pia.
Kuimprove nilipomaanisha mimi ni kuhusika kwenye mchezo zaidi kwa sababu ukizungumzia magoli kascore mfululizo tangu apokee kijiti na hata leo anaweza kuscore pia
Kuanzia Boss wenu mpaka mashabiki msimu huu wote hamji helewi, mnasajili hovyo hovyo bila mipango.Baadae wanaakuja kuwa kama ya KDB na Mo Salah watu wanakuja kujiokotea bei sawa na bure wakati nyie mmetumia mzigo mrefu.