Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mbali na ushabiki mpira ni darasa na elimu kama nyingine. Nazidi kujifunza kitu tukiwa kama wapenzi na walevi wa mpira.
Kweli kabisa ,Je Øde anaenda kuwa Ozil mpya Arsenal?Mbali na ushabiki mpira ni darasa na elimu kama nyingine. Nazidi kujifunza kitu tukiwa kama wapenzi na walevi wa mpira.
Mikel asituangushe tena na Ile jinx yake. Akishinda MOTM anapigwa mechi 3 mfululizo ndiyo akili inamkaa sawa anashinda tena. This time ashinde 3 mfululizo na zaidi.
Aaron ArsenalKweli kabisa ,Je Øde anaenda kuwa Ozil mpya Arsenal?
Mbona juz hapa alichukua ,na Bado akaliendeleza akashinda na ku draw moja , wakampa Eddie Howe, akashinda Tena mechi 4 ndio hii amechukuaMikel asituangushe tena na Ile jinx yake. Akishinda MOTM anapigwa mechi 3 mfululizo ndiyo akili inamkaa sawa anashinda tena. This time ashinde 3 mfululizo na zaidi.
ARTETA aliulizwa kwanini umemchangua Øde kuwa Captain akasemaAaron Arsenal
Ni ngumu kuepuka kulisema hilo hasa kwa kuwalinganisha. Øde vitendo vinaongea sana akiwa uwanjani kama team captain kuliko kuongea.
Kwenye mechi na Wolves ni mchezaji aliyefanya covered 12.2km kuliko mchezaji yoyote wa Arsenal lakini namna alivyo na commitment. Arteta aina ya mchezaji kama yeye ambaye Arsenal ilimkosa kwa miaka mingi. Ni mtu mwenye vision ya mechi na kuongoza timu icheze mfumo upi.
Ndiyo maana hawakumsajili James Maddison ?ARTETA aliulizwa kwanini umemchangua Øde kuwa Captain akasema
Ndiye mchezaj pekee anayeweza kutafsiri Arsenal tuchezaje
Na Ndiye aliyemchagulia Jezi no.8
Hata Buendia ,Aouar ,Alisema Main Target yake Ni ØdeNdiyo maana hawakumsajili James Maddison ?
Conte atapaki Basi mjinga yuleConte amejihami mapema sana
Rice back pass na side ways pass ndio anazozijua. Hakuna mchezaji hapo.Sijaaminisha umma ,taratibu Will Jr
Nimekuuliza, halafu unaweza kufananisha pass accuracy ya Rice na kina FDJ,RODRI,PARTEY, THIAGO ,
kupata kichekesho kma hiki bonyeza *104*100#Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Uliifunga Man U kiungo Matic na McTomminaySasa manyumbu timu ya kutisha?
Sisi Tunataka mbondwe kesho, halafu Tunawangoja Emirates
Xhaka huwa anawataman Sana pale Emirates