Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie kima saa 23:00 ndio inakaribia anzeni kujisogeza kibanda umiza mjifunze jinsi mpira wa kiumeni unavyochezwa.
 
Tunawafata huko kwenye ligi kuwashusha..😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
 

Attachments

  • Screenshot_20230107_010336_Instagram.jpg
    117.3 KB · Views: 22
punguza makasiriko kijana, mpira ni burudani ukiendekeza hasira na ghadhabu utazeeka mapema.
Halafu pia nakushauri achana na bhange mdogo wangu.
 
Arsenyani nasikia wametuma maombi FA ya kusogezwa mbele mechi yao dhidi ya United.
Hata mashabiki wao hawana raha kabisa wanaishi kwa mashaka mashaka sana kila wakikumbuka jumamosi ndio wanakutana na wanaume wa shoka.
 
(
) Chelsea are not expected to meet Shakhtar's public valuation. They also want to understand if Mudryk is open to joining them. At this stage, and with Arsenal still in active talks, Mudryk has indicated he wants a move to the Emirates Stadium.(@JacobsBen)
 
Arsenal next 2 games

Tottenham vs Arsenal

Arsenal vs Man United

Man City next 2 games

Man United vs Man City

Man City vs Tottenham


Man Utd next 2 games

Man United vs Man City

Arsenal vs Man United

Tottenham next 2 games

Tottenham vs Arsenal

Man City vs Tottenham

 
Arsenyani nasikia wametuma maombi FA ya kusogezwa mbele mechi yao dhidi ya United.
Hata mashabiki wao hawana raha kabisa wanaishi kwa mashaka mashaka sana kila wakikumbuka jumamosi ndio wanakutana na wanaume wa shoka.
Utd wanafanya vizuri kwenye mechi zao zilizopita, ila kipimo kizuri itakuwa ni dhidi ya City na Arsenal pale Emirates. Mpaka sasa mhimili ni Casemiro bado hamjawa na unity as a team. Ila ETG mkipa muda mnaweza kuwa washindani wa kweli na mkiachana na magalasa.
 
Mkuu Aaron Arsenal ,
Hizo ndiyo mechi tulizokuwa tunazitaka. Kama una wachezaji wa papatu papatu bingwa anaanzia hapo.
 
Hapo mbabe wetu ni City tu na safari hii tunamkazia vilevile. Sasa
Nyinyi Arsenyani wala hamtuumizi kichwa, kama tuliwabamiza goli 3 kipindi ambacho timu ilikua ipo hovyo sasa hivi mtegemee kugongwa goli zaidi ya 6 kwenye mechi ijayo.
Fundi Anthony peke yake ana goli zake 3 hapo Emirates.
 
Flano

Unakubali mechi ya City unapoteza ila unasahau mechi ya Arsenal mpaka sasa ushapoteza!!!!
 
Crazy that he’s publicly liking all these posts. Times have changedView attachment 2472034
Kwa mbali nikiangalia benc letu na namna tunavyokosa watu wa kubadilisha matokeo na kufanya rotation kuna muda natamani hata €100 kina edu watoe ili tumpate mykhaylo ila kuna sauti ya ndani inaniambia "remember hossam aour wa lyon" jamaa tuliwapa mpaka 40 wakakomaa na sijui 60 msimu mmoja tu akaporomoka balaaa mpaka paund 17m na bado akakosekana potential costomer to benefit club and player
 
na anaondoka bure summer hii
 
Hivi nani anakumbuka kwamba arsenal tulitoa mpaka pauni 75m kwa thomas lemmar? Dogo akaleta dharau na timu yake ikazingua.kilichotokea kila mtu anakijua, hawa farmers league players ni wakununua kwa umakini mno


Darwin nunez arsenal alimuhitaji ila dau kubwa lilimtoa njiani, huyu mbeleni atashine tu ila alitakiwa kudeliver moja kwa moja
 
toobiter kuna interview moja ya Edu alikuwa anasema kitu cha kwanza ilikuwa nikuweka foundation nzuri kwenye timu alafu baadae wataenda kwa kubalance timu kwa kuchukua wachezaji wenye quality kwa maana ya mchezaji ghali kila msimu. Kilichotokea msimu huu mimi na wewe hatukujua kama tungekuwa hapo tulipo.

Laca anajutia kuondoka Arsenal mkuu
 
TOKA AWALI INAONESHA CHELSEA ANATUMIKA ILI TULIPE €100M

BUT ARSENAL NI WAHUNI ,WAMESEMA HAWAONGEZI BEI ,NA MCHEZAJI ATAJIUNGA MWISHO WA SIKU

Arteta on signing players for the January window -

"at the end of the day players decide where they want to play".

(@sr_collings)


| @GraemeBailey on Mudryk: “He wants to go to Arsenal, he’s made that clear over the past 24 hours, as well from our understanding.

“Arsenal are not too amused by Chelsea coming in, but there is a belief in the Arsenal camp that it will get done.” [90min podcast] #afc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…