Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kitu Nyie vibaka hamjui mpo pale juu sio kwa sababu mnaupga mwingi, ni kw sababu city kuna game za kijinga ka droo na kupoteza. Na pia kushuka kw kiwango kw chelsea na liva.
 
Fulana unaupiga mwingi sana.
 
Aaron Arsenal huu ndo ulitakiwa uwe muda wako wa kuchambua game cha ajabu umejificha jalalani mpaka mpate ushindi ndo utaonekana hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuko bize jikoni sasa hivi anachambua maharage.
Ukitaka kumtega kiurahisi aje humu we anzisha tu story za Mykhaylo Mudyrik fasta tu utamuona.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…