Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
....I predict huu ndio msimu wa mwisho wa Arsene Wenger.
Nahisi hata sign Contract kuendelea. Baada ya Game ya leo matusi
ya mashabiki kuelekea kwake yatazidi maradufu!
Mkuu huwezi kusema hawana experience wakati wengi wao wamecheza kwenye top flight for two, three seasons or more.
...Truth Hurts, lakini ukweli ndio huo.
Suala sio wachezaji, tactics pia zinachangia.
Well,...
....pamoja wakuu. Nilikuwepo!
...na wengi wao wanachezea team zao za taifa!
Take care mkuu na wala usijali ndio mpira huu
wenger bora aondoke amezidi kutuumiza mioyo yetu kwa ubahili wake,man u naipa nafac kubwa ya kutwaa ubingwa,arsenal nimewatoa wao kupata ubingwa nisawa na ngamia kupita ktk tundu la sindano,inauma sana.....I predict huu ndio msimu wa mwisho wa Arsene Wenger.
Nahisi hata sign Contract kuendelea. Baada ya Game ya leo matusi
ya mashabiki kuelekea kwake yatazidi maradufu!
hehehe nikiripoti laivu kutoka WHL ni mimi mwandishi wa kujitegemea , redio ya mbao betri za kuazima.
washabiki wa ze gunnerz wanashauriwa kushabikia mtibwa sugar kwa maslahi ya afya zao. mwisho wa kunukuu
Sintoweza kuisahau siku ya leo.Asanteni wanajamvi kwa kuwa pamoja tujiandae na msimu ujao.
Mkuu Arsenal imejaa watoto tu ambao hawana experience sasa watategemea vipi kushinda??kocha naona kachoka sasa hivi na hajui nini anafanya
wenger bora aondoke amezidi kutuumiza mioyo yetu kwa ubahili wake,man u naipa nafac kubwa ya kutwaa ubingwa,arsenal nimewatoa wao kupata ubingwa nisawa na ngamia kupita ktk tundu la sindano,inauma sana.
hehehe nikiripoti laivu kutoka WHL ni mimi mwandishi wa kujitegemea , redio ya mbao betri za kuazima.
washabiki wa ze gunnerz wanashauriwa kushabikia mtibwa sugar kwa maslahi ya afya zao. mwisho wa kunukuu
Mwaka sio wenu huu lakini mliikuwa naa chance sana kama mngetumia vizuri
Hahah nimemuona Wacha1 uwanjani, mmemuona huyo jamaa mwenye jezi ya njano ya Arsenal alikuwa anafuta machozi?
Mkuu kuitwa timu ya Taifa yes inawezekana ila lazima kuwe na top players wa siku nyingi...Na ambao wanaweza kufanya maabadiliko zaidi katika timu!
Nadhan