makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,441
Hili goli la 4 sawa martinelli kafunga, ila bora zaidi ni angempasia mwenzie nketiah, moira ni mchezo wa kurahisisha mambo.
Mumekutana na wavimba machoMzee wa Livescore [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeumbiwa kusahau hao hapo wavimba macho wenzioMumekutana na wavimba macho
Alikuwa saka mkuuHili goli la 4 sawa martinelli kafunga, ila bora zaidi ni angempasia mwenzie nketiah, moira ni mchezo wa kurahisisha mambo.
kwani mechi yenu na hao wavimba macho iliishaje, unaweza kutupa rejea ya kilichotokeaMumekutana na wavimba macho
As I saidThe boys really need to hold the ball,,this is not a team to play a defensive game
Sawa mkuu, alipaswa ampasie mwenzieAlikuwa saka mkuu
Kabisaaaa hiyo point asee,now naelewa why anafanya hvoKwao huko Putin anawanyunyuzia tu mioto kutoka mawinguni, lazima awe chawa kwelikweli ili afanikiwe kuondoka kwenye uwanja wa vita, la sivyo yule comedian anaweza kuamrisha wachezaji wote waende frontline kwenye mapambano.
Utoto na Kujiamini kupita kiasi imeigharimu timu pale... How come unajiona mtu wa mwisho then anafanya makosa kama yaleArteta mpige benchi Saliba hata game 1 kaanza ufala ufala wa kujiamini ana namba ya kudumu