Ila wakikumbuka yaliyowapata wanabaki kusonya tu [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wadau wanatamani kusema Brighton ni mbovu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Lini ukawa arsenal wewe?Hii arsenal watupe kombe letu mapema tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Taylor anazigawa tuYellow cards
Brighton leo tumemjia tofauti kabisa, miaka ya nyuma game Kama hii tungefungwa mapemaKuna wadau wanatamani kusema Brighton ni mbovu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mzee wa Livescore [emoji23][emoji23][emoji23]Arse8 nasikia munapakatwa tu
Huyu watamuachia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa huyu dogo Mudi anakunyima amani sana.
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wakikumbuka yaliyowapata wanabaki kusonya tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wamo humu humu jukwaani kwetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Flano na OllaChuga OcBrighton leo tumemjia tofauti kabisa, miaka ya nyuma game Kama hii tungefungwa mapema
Brighton alienda Etihad alimzidi mancity ku possess mpira
Ukimuendea kichwakichwa anakupiga
Lini ukawa arsenal wewe?
[emoji1787][emoji1787]mm nimeleta update zake tu nduguWe jamaa huyu dogo Mudi anakunyima amani sana.
Mkishindwa kumsajili sijui hali yako itakua vipi?
5yrs I thinkHuyu watamuachia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mkataba wake wa miaka mingap