Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa timu yangu inacheza na Mimbweha, kabla hata mpira haujaanza tayari mshindi ashajulikana.
Najipiganiaje sasa wakati inajulikana wazi Rashford mmoja ni sawa na kina Nketiah 1000 na Nyunyez watatu.
Baada ya ushindi wa papatupapatu na kushikilia bomba ,ndio unakuja kujibu

Mna timu mbovu Sana
 
Check Mudryk’s latest video, on Insta. Could be a coincidence but he’s using the song “Circo Loco” by 21 Savage and Drake, which has the lyric “Still gotta see the Gunners win the Premier League” in it.

instagram.com/reel/Cm1ifaxhR…
 
MABADILIKO KWA TIERNY , ANAINGIA ZINNY

Arsenal XI vs Brighton:

Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Zinchenko; Partey, Xhaka, Odegaard; Saka, Martinelli, Nketiah.
IMG_20221229_193249.jpg
 
MABADILIKO KWA TIERNY , ANAINGIA ZINNY

Arsenal XI vs Brighton:

Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Zinchenko; Partey, Xhaka, Odegaard; Saka, Martinelli, Nketiah.View attachment 2464690
Wachezaji wa Brighton Kina TROSSARD na wenzake wakiona beki ya Arsenyani inaitwa TIENI ndio wanahamasika zaidi kwa kuona wameruhusiwa kutia mabao kadri wapendavyo.


#Kataa wahuni
 
Back
Top Bottom