Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal are the ONLY team with 4+ players on 20+ chances created from open play in the Premier League this season:

• 25 - Martin Ødegaard
• 25 - Bukayo Saka
• 23 - Gabriel Martinelli
• 22 - Gabriel Jesus
• 21 - Granit Xhaka

We have five.

[@squawkafootball]
IMG-20221230-WA0174.jpg
 
Brighton wanajifanyaga wabishi ,wanapenda kubishana

Kesho wataelewa kuwa sio kila timu ni ya kupishana
 
De Zerbi on Mykhaylo Mudryk:

“Mudryk is a fantastic player, I think he can win the Ballon d'Or in the future”. #BHAFC #AFC

“I like him as my ex-player but I’m now Brighton coach, and Brighton can't buy Mudryk”, says via @RichieMills2.
 
De Zerbi kuhusu mchezaji wake wa zamani Mudryk:

"Mudryk ni mchezaji mzuri lakini Brighton hawawezi kumnunua. Ninampenda kwa sababu wachezaji wangu wote wa zamani nawapenda lakini mimi ni kocha wa Brighton. Nafikiri Mudryk anaweza kushinda Ballon d'Or Ninajua thamani ya Mudryk
 
"Nafikiri Mudryk anaweza kushinda Ballon d'Or Ninajua thamani ya Mudryk"

De Zerbi muhuni sanaaaa, hapa anatumia akili mingi kuwaambia Shakhtar bei ya Mudi wakamatie hapohapo au ikiwezekana waongeze tena bei maana mchezaji wao ana kiwango kikubwa mno cha kumuwezesha kutwaa Ballon d'Or.
 
Dah flano hawa jamaa wanakaza,ila wataachia
 
Tulitoa ofa ya £50m kwa Raphinha ikakataliwa, tukaenda na kiasi hicho hicho kwa Pedro Neto, Wolves wakaikataa Shakhtar wanafikiri tutatoa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine? Haha, wanajidhani wanafanya biashara na man u au Chelsea , ndio maana kwenye negotiation wanamtaja Anthony wa man u

Sipingi usajili wa Mudryk, ni mchezaji mzuri na uwezo anao na utakuwa usajili mzuri kama tukimpata kwa thamani aliyonayo.

Sio pesa zangu sawa, lakini kwa nini tulipe pesa ya Superstar kwa mchezaji ambae bado atahitaji karibia misimu miwili ili akamilike kama tunavyo mtaka?

Mudryk ni mchezaji mzuri ila ni mchezaji wa 'project' na akija Arsenal haanzi mbele ya Martinelli kwa hiyo sidhani kama tutalipa hiyo £80m.

Mudrky atahitaji Kuna vitu awekwe sawa

Martinell,saka ,smith,Partey , Øde ,wote wamekuja Arsenal, au walikuwepo Arsenal kabla ya Arteta , walikuwa wachezaji wakawaida Sana, Kama Partey alifikia hatua akasema kwa anavyocheza anajipa 4/10

Martinel ,saka, Øde,smith walikuwa na potential ila sio Kama walivyo Sasa

Jesus kaja Arsenal kaingia moja kwa moja kwenye kikosi, tumelipa £45m, Hivyo hivyo kwa Zinchenko tumelipa £35m ntashangaa kama tutalipa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine,

labda sio Arsenal ninayo ijua.
 
Arsenal hawatoi hiyo pesa, labda tuwape kwa mafungu kutokana na maendeleo ya mchezaji....

Yaani liverpool wamesajili Cody Gapko kwa 37m then Arsenal watoe 80m kwa Mudryk huu uchawi
 
Tulitoa ofa ya £50m kwa Raphinha ikakataliwa, tukaenda na kiasi hicho hicho kwa Pedro Neto, Wolves wakaikataa Shakhtar wanafikiri tutatoa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine? Haha, wanajidhani wanafanya biashara na man u au Chelsea , ndio maana kwenye negotiation wanamtaja Anthony wa man u

Sipingi usajili wa Mudryk, ni mchezaji mzuri na uwezo anao na utakuwa usajili mzuri kama tukimpata kwa thamani aliyonayo.

Sio pesa zangu sawa, lakini kwa nini tulipe pesa ya Superstar kwa mchezaji ambae bado atahitaji karibia misimu miwili ili akamilike kama tunavyo mtaka?

Mudryk ni mchezaji mzuri ila ni mchezaji wa 'project' na akija Arsenal haanzi mbele ya Martinelli kwa hiyo sidhani kama tutalipa hiyo £80m.

Mudrky atahitaji Kuna vitu awekwe sawa

Martinell,saka ,smith,Partey , Øde ,wote wamekuja Arsenal, au walikuwepo Arsenal kabla ya Arteta , walikuwa wachezaji wakawaida Sana, Kama Partey alifikia hatua akasema kwa anavyocheza anajipa 4/10

Martinel ,saka, Øde,smith walikuwa na potential ila sio Kama walivyo Sasa

Jesus kaja Arsenal kaingia moja kwa moja kwenye kikosi, tumelipa £45m, Hivyo hivyo kwa Zinchenko tumelipa £35m ntashangaa kama tutalipa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine,

labda sio Arsenal ninayo ijua.
arsenal watafte Alternatives, hawa majamaa hawana akili
 
Kwa mtazamo wangu bado najiuliza Arteta aliona nini kw Pedro Neto ambacho mimi sikioni?
Mudryk ni mzuri £60m inclusive ni fair price.
 
Back
Top Bottom