Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mtazamo wangu bado najiuliza Arteta aliona nini kw Pedro Neto ambacho mimi sikioni?
Mudryk ni mzuri £60m inclusive ni fair price.
Neto anacheza pia false 9 , ndio maana Bei ilikuwa mwisho €50m ,wolves walipojifanya wanapandisha ,akaachana nae
 
Wenger on Odegaard - "I was desperate to sign him. Fortunately, he is here now. He really is like a young Cesc Fábregas. I think he has developed into a complete player."

"I am super impressed. He really is a down-to-earth and nice boy. The way he analyzes the game. He also did that as a 15-year-old... The sharpness! I am really impressed. He will do well."

Wenger on Odegaard choosing Madrid over Arsenal-

"That was hard. When he was 15, I talked to him. I actually spoke to Martin about it after the game now on Boxing Day"

"After he came to Arsenal, he has found his creativity back. He plays amazingly well and masters everything in the game. He is complete. I like him in every way in the game. Defensive and offensive."

He makes decisions quickly, and always optimally. It is remarkable! I like him and the way he makes football look so easy. He has developed very well. It's really amazing. His decisions, he is also a leader in the team."
 
Namuangalia mudrky hapa ,ana Kasi Sana , anajua kufunga ,sioni aki struggle ,

Naomba dili lake likamilike kabla mech na Newcastle ,ili mech na man u Emirates aikute ,
 
Tulitoa ofa ya £50m kwa Raphinha ikakataliwa, tukaenda na kiasi hicho hicho kwa Pedro Neto, Wolves wakaikataa Shakhtar wanafikiri tutatoa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine? Haha, wanajidhani wanafanya biashara na man u au Chelsea , ndio maana kwenye negotiation wanamtaja Anthony wa man u

Sipingi usajili wa Mudryk, ni mchezaji mzuri na uwezo anao na utakuwa usajili mzuri kama tukimpata kwa thamani aliyonayo.

Sio pesa zangu sawa, lakini kwa nini tulipe pesa ya Superstar kwa mchezaji ambae bado atahitaji karibia misimu miwili ili akamilike kama tunavyo mtaka?

Mudryk ni mchezaji mzuri ila ni mchezaji wa 'project' na akija Arsenal haanzi mbele ya Martinelli kwa hiyo sidhani kama tutalipa hiyo £80m.

Mudrky atahitaji Kuna vitu awekwe sawa

Martinell,saka ,smith,Partey , Øde ,wote wamekuja Arsenal, au walikuwepo Arsenal kabla ya Arteta , walikuwa wachezaji wakawaida Sana, Kama Partey alifikia hatua akasema kwa anavyocheza anajipa 4/10

Martinel ,saka, Øde,smith walikuwa na potential ila sio Kama walivyo Sasa

Jesus kaja Arsenal kaingia moja kwa moja kwenye kikosi, tumelipa £45m, Hivyo hivyo kwa Zinchenko tumelipa £35m ntashangaa kama tutalipa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine,

labda sio Arsenal ninayo ijua.
naona sasa hivi utatulia baada ya akili kuanza kukaa sawa, huyu Mudi alikua anakutia presha sana.
Arsenyani nyie wachezaji wenu ni wale wa mafungu au wale waliokataliwa na timu kubwa (Martinell) au mnaopewa kwa hisani kama kina Jizaz na Zichenko.
 
Namuangalia mudrky hapa ,ana Kasi Sana , anajua kufunga ,sioni aki struggle ,

Naomba dili lake likamilike kabla mech na Newcastle ,ili mech na man u Emirates aikute ,
Mkuu naona unaiogopa manyuuu kweli katika comment zako 5 lazima utaje mchezaji wa manyuu au manyuu yenyewe relax mkuu nyie hata mshushe mbape sisi kuwapapasa ni pale pale.
 
Jukwaa la moto sana hili.
Tukutane may kwenye kupambana kuwanania kuingia top4.

ALEXIS MAC ALLISTER amewaacha wachezaji wenzake wa Argentina wakiendelea kushangilia ubingwa ili aje kuzitia adabu hizi kima za Emirates, MOISÉS ISAAC CAICEDO, KAORU MITOMA, ADAM LALLANA, LEANDRO TROSSARD na DANNY WELBECK wameahidi wakiwagonga chini ya goli 3 wasilipwe mshahara wa miezi miwili.

Prediction
Brighton 3 - 1 Nyani

Nimekaa paleeeee
Badala upiganie timu yako ,upo bize humu
 
Every day the Shakhtar director watches Antony play, he increases the price of Mudryk by €20M because he's like "how on earth did they pay €100M for this?"
Ila huyu jamaa nae anatakiwa aelewe kuwa kuna kununua na kuna kupigwa. Sio kila team inataka kupigwa kama manjesta kuna zingine zilishatoka huko zimefika level za kununua kwa sasa.
 
Jukwaa la moto sana hili.
Tukutane may kwenye kupambana kuwanania kuingia top4.

ALEXIS MAC ALLISTER amewaacha wachezaji wenzake wa Argentina wakiendelea kushangilia ubingwa ili aje kuzitia adabu hizi kima za Emirates, MOISÉS ISAAC CAICEDO, KAORU MITOMA, ADAM LALLANA, LEANDRO TROSSARD na DANNY WELBECK wameahidi wakiwagonga chini ya goli 3 wasilipwe mshahara wa miezi miwili.

Prediction
Brighton 3 - 1 Nyani

Nimekaa paleeeee
Majeruhi huyo
 
Badala upiganie timu yako ,upo bize humu
Sasa timu yangu inacheza na Mimbweha, kabla hata mpira haujaanza tayari mshindi ashajulikana.
Najipiganiaje sasa wakati inajulikana wazi Rashford mmoja ni sawa na kina Nketiah 1000 na Nyunyez watatu.
 
Kabla ya kuingia January Wanaume wanatinga rasmi ndani ya top4, huku wale Mabanati waliofikishwa kileleni nao ndio wanauanza mwendo wa kurudi kwenye nafasi yao ya 6 ili wasije ikosa Europa msimu ujao na kuangukia kwenye mashindano ya Conference league.


#Kataa wahuni
Screenshot_20221231_175551.jpg
 
Back
Top Bottom