Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dressing room Kuna umuhimu wakuwa na watu ambao tayari wameshashinda mataji

Bukayo Saka -

"Jesus and Zinchenko bring that belief that we can win. Jesus was not even on the pitch today but we can still feel his presence. "

(@MENnewsdesk )
 
Analysis of Eddie Nketiah's excellent performance against West Ham

14 goals in 21 starts since start of last season
Played deeper than Saka & Martinelli
Secure with the ball, completing 22 of 24 passes
Arteta praises off-ball intensity & pressing
 
Uhamisho wa Arsenal kwa Mykhaylo Mudryk hautokani na jeraha la mshambuliaji Gabriel Jesus, lakini badala yake ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu wa kuongeza idadi ya wachezaji wapembeni ambao Mikel Arteta anamtaka, ambaye anataka kuimarisha safu yake ya ushambuliaji haraka iwezekanavyo.

[@SamJDean]
 
Ukiona fabiansk anafaidi mlete kipa wako mechi bado zipo nae atafaidi tu kuna mtoto mshenzi anaitwa mudryk ni balaa jingine linakuj kuwafunza adabu mtanyooka tu kimyakimya
Hifadhi maneno mkuu Una uhakika gani atakuja kushine Kwa hawa premier League bully defenders ambao sio km WA kutoka ligi ya Ukraine


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wale wakutuongezea muda, wametuongezea mpaka mwezi gani sazi?? Maana walianza October mtapoteana, wakapoteana wao, mara ooo baada ya world cup wanaendelea kuingia sio chaka tu msituni, sijui saizi wanasema mpaka lini tutapoteana?
 
SHAKHTAR WANASEMA TUONGEZE PESA, HAIWEZEKANI ANTHONY WA MAN U AUZWE €100M HALAFU WAO WAUZE BEI CHEE

ARSENAL NAO WAMESEMA WAANGALIE BEI YA GAPKO



️Arsenal will feel their first offer, which has been rejected, was quite fair (especially given Gakpo’s price tag). Shakhtar still pointing towards the likes of Antony though.
Talks continue.

(@charles_watts
)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…