Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Je unajua manyumbu utd ina miaka 6 Sasa bila taji lolote na Kuna uwezekano ikagonga miaka 10?
 
Hakuna cha nyoka wala nini, Arsenal wachezaji wengi wakitoka wanapachukia mana hapana mafanikio. Hata leo hii ukiwauliza akina Fabrigus, A.cole, Giroud,Nasri nyumbani ni wapi, hawatakutajia Arsenal.
Arsenal inakupa uchizi , EPL imerudi timu lenu bovu, sijui mtajicichia wapi Safari hii

World cup imeisha
 
15th September 2019 - Arsenal concede 31 shots in a single game away to Watford, under Unai Emery. A new Premier League record

20th December 2022 - Arsenal have allowed just 37 shots on target against them in 14 games - fewer than any other team in the top flight.
 
[emoji748]Arsenal kesho panapo majaaliwa
Watapiga mchezo wa kirafiki dhidi ya Luton town

[emoji748]Mchezo huo utapigwa ktk viwanja vya mazoezi vya London Colney
 
[emoji452]Kocha wa Arsenal ametimiza miaka 3
Akiwa mkufunzi wa Arsenal[emoji122][emoji122]

[emoji599]Arteta akiwa Arsenal

[emoji818]Michezo [emoji666]151
[emoji819]Ameshinda michezo [emoji666]90
[emoji680]Sare michezo [emoji666]21
[emoji735]Amepoteza michezo [emoji666]40
[emoji471]Community shield [emoji666]1
[emoji471]Fa cup [emoji666]1
 
[emoji599]BREAKING: Arsenal are close to agreeing a new contract with Gabriel Martinelli that will see him become one of the club’s top earners.

Gabriel Martinelli’s new terms will be worth in the region of £200k-per-week, as per @SamiMokbel81_DM.
 
Dogo una chuki na Arsenal paka inakupa uchizi, so Edu Gaspar, Pires, Adams, Arteta, Henry, Viera wanaichukia Arsenal? au unadhani Arsenal ni Nasri, Adebayor na Van persie tu?
Sheikh kipozeo hua ana kauli yake moja anapenda sana kuisema kila mara:
"Ukweli hua una kawaida ya kuchomachoma ila dawa yake ni kuvumilia"
Oyaaa Will Jr siku hizi unaadimika sana mtu wangu kwenye hili jukwaa letu pendwa.
Usiwe unatutupa namna hio, humu ndani bado tunahitaji busara zako.
Kwema lakini mkuu?
 
Sasa Nani wakutufunga tukitaka Jambo letu?

Msimu huu tunapigania mataji matatu TU

EPL

FA cup

Europa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kila la heri Mkuu, Imani ndio kila kitu.
Mkiwa na imani japo ya punje ya haridari mnaweza kutwaa mpaka Uefa champions league ndani ya msimu huu huu mnaoshiriki Europa.
 
Wewe bana wewe una shida sehemu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nizoee tu mkuu, mimi ndio nipo hivihivi tokea nipo ndani ya tumbo la bimkubwa.
Ukiona nakukera sana unani ignore tu kiroho safi.
Tokea kufutwa kwa jukwaa la Jokes nimeamua rasmi kutia kambi humu kama mbadala wa lile jukwaa la utani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…