Huyu anahesabika Kama nyoka ,hata yeye analijua Hilo , hawezi kujisogeza Arsenal ,Kwa nini RVP amekuwa karibu zaidi na Man U kuliko Arsenal ambayo inemkuza kisoka na amekaa miaka mingi mpaka kuvaa kitambaa cha unahodha?
Man U RvP anapendwa sana na kupewa heshima kama Legend ila mashabiki wa Arsenal wenginksma wamepotea fulani hivi. View attachment 2451437
Fafanua mkuu.Worth remembering that Lionel Messi won the World Cup because Neal Maupay injured Bernd Leno.
Akae huko huko unyumbuni.Huyu anahesabika Kama nyoka ,hata yeye analijua Hilo , hawezi kujisogeza Arsenal ,
Man City ndo kaongoza, mmepitwa hata na Chelkenge.Wekeni na wenu...View attachment 2449652
Emi Martinez alikuwa academy ya Arsenal ,wamepita makipa wengi Lakini hakuaminika , alipokuja Arteta bado Emi alikuwa no.2 , mechi na Brighton maupay alimuumiza Leno, ikaonekana Leno atakaa nje muda mrefu ,ikabidi Emi apewe nafasi ndipo akafanya vzr Hasa Mechi za FA Cup akifanya vzr Sana mechi ngumu Zote, na Community shield pia , Baada ya hapo akataka Sasa apewe no.1 ,lakini Arteta akasema hawezi kumuhakikishia hivo, kipind hicho Argentina kipa wao Armani na wengine hawakuwa wazuri kabisa ,wakiwacost Sana.Fafanua mkuu.
Na Hana msaada wowote Arsenal, halafu Arteta hatakagi shobo na Hawa wachezaji wa zamani ,wengi maneno mengiAkae huko huko unyumbuni.
Nimekupata, sikukumbuka chanzo ni Maupay kumuumiza Leno. Thanks.Emi Martinez alikuwa academy ya Arsenal ,wamepita makipa wengi Lakini hakuaminika , alipokuja Arteta bado Emi alikuwa no.2 , mechi na Brighton maupay alimuumiza Leno, ikaonekana Leno atakaa nje muda mrefu ,ikabidi Emi apewe nafasi ndipo akafanya vzr Hasa Mechi za FA Cup akifanya vzr Sana mechi ngumu Zote, na Community shield pia , Baada ya hapo akataka Sasa apewe no.1 ,lakini Arteta akasema hawezi kumuhakikishia hivo, kipind hicho Argentina kipa wao Armani na wengine hawakuwa wazuri kabisa ,wakiwacost Sana.
Astonvilla wakaleta ofa ,Emi akauzwa Baada ya miaka 10 ya kukaa Arsenal ,
Kwa uwezo aliokuwa ameonesha kwenye michuano ya FA CUP na ligi mechi chache na kucheza penalty tayari akawa ameanza kufikiriwa NATIONAL TEAM,
Alipoenda Astonvilla akaanza kuitwa NT, na akawasaidia kubeba COPA AMERICA huku akiwa msaada mkubwa Kuanzia Nusu had fainal ,pia akachukua Finalsma , na Sasa World cup .
Messi amekuwa akimshukuru mara kadhaa kwa uwezo wake wakumsaidia kubeba hayo mataji
HIVO SAFARI YA EMI ,ILIANZIA KWA LENO KUUMIZWA NA MAUPAY
Gallas ndo pumba kabisa.Na Hana msaada wowote Arsenal, halafu Arteta hatakagi shobo na Hawa wachezaji wa zamani ,wengi maneno mengi
Refer Henry, Gallas ,n.k
Huyu si alikuwa anaozea benchi?Leo Magazeti yote ya America kusini kwenye fenti fodi title zao zimeandikwa:
Mlinzi kisiki wa Manchester United Lisandro Martinez aisaidia Argentina kutwaa kombe la dunia 2022.View attachment 2451424
Katika mahojiano na waandishi wa habari RVP alishawahi kukiri kua katika vitu anavyovijutia mno katika maisha yake ni kupoteza muda mwingi kuitumikia timu ya AsaniWali, analalamika kua hata huo wali wenyewe walikua hawaupati, alikua analishwa tu ukoko.Kwa nini RVP amekuwa karibu zaidi na Man U kuliko Arsenal ambayo inemkuza kisoka na amekaa miaka mingi mpaka kuvaa kitambaa cha unahodha?
Man U RvP anapendwa sana na kupewa heshima kama Legend ila mashabiki wa Arsenal wenginksma wamepotea fulani hivi. View attachment 2451437
Raisi wa nchi ya Argentina Alberto Ángel Fernández Pérez amempongeza mno Lisandro Martinez kwa kuiwezesha nchi yake kutwaa kombe la dunia, Pia ameishukuru sana club ya Manchester United kwa mchango wake mkubwa wa kuwang'arisha wachezaji wa Argentina duniani, akitolea mfano wa Carlos Tevez raisi Fernández amesema anaandaa memorandum of understanding kati ya Argentina na United ili raia yoyote wa Argentina anapotaka kucheza soka nje ya nchi kipaumbele cha kwanza iwe kwenda kucheza soka kwenye club kubwa zaidi ya Manchester United.Huyu si alikuwa anaozea benchi?
Man United fans, the World Cup is over. There's no where to hide anymore
Aisee wewe muzee hiyo kichwa yako inajiless tu, na imejaa pumba mbichi.Raisi wa nchi ya Argentina Alberto Ángel Fernández Pérez amempongeza mno Lisandro Martinez kwa kuiwezesha nchi yake kutwaa kombe la dunia, Pia ameishukuru sana club ya Manchester United kwa mchango wake mkubwa wa kuwang'arisha wachezaji wa Argentina duniani, akitolea mfano wa Carlos Tevez raisi Fernández amesema anaandaa memorandum of understanding kati ya Argentina na United ili raia yoyote wa Argentina anapotaka kucheza soka nje ya nchi kipaumbele cha kwanza iwe kwenda kucheza soka kwenye club kubwa zaidi ya Manchester United.
Raisi Alberto Ángel Fernández Pérez alikua anaongea kwa hisia kali mpaka machozi yalikua yanamtiririka.
#Viva Lisandro Martinez
#Viva Manchester United
#Viva La AlbicelesteView attachment 2451618
Football_Live_HD_AF_1_0_New_MultiPatch_AIO(1)Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi na magaidi. Natanguliza shukrani.
View attachment 2451423
Mu ArgentinaAlexis Mac Allister ni moja kati ya wachezaji ambao ningependa tupambane sana kuwapata, ni kiuongo wa kati ambae anaweza akawa amebakiza vitu vichache kufikia ukamilifu.
Kwanza, anaweza kucheza kwenye hatua zote za kupanga mashambulizi (ya kwanza mpaka ya tatu).
Kwenye hatua ya kwanza (kwenye eneo letu chini kabisa) ubora wake upo kwenye kuchukua mali bila presha na kugeuka na kutoa, pia ni 'press resistant' (anaweza kukwepa presha ya kukabwa).
Kwenye hatua ya pili (katikati) ubora wake ni kwenye kupiga pasi na kucontrol tempo ya mchezo (anaweza akaamua tucheze kwa kasi ya kiwango gani) sio volume passer (mpiga pasi nyingi) lakini anaweza sana kupiga pasi fupi fupi na za mbali.
Kwenye hatua ya tatu (kwenye 1/3 ya mwisho ya adui) , anaweza kufanya mikimbio ya ndani ya box na kushambulia, japo hafanyi kwa kiwango kikubwa ila anafanya kwa kiwango chake.
Tuna utajiri wa namba 8 kwenye kikosi chetu, Ø, Smith-Rowe, Fábio Vieira, Nwaneri, Patino ila Mac Allister ni watofauti, anaweza kuleta vitu vingi mezani.