Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Cheki hii takataka sasa😂😂😂 hii manjestaa yenye matoto mchele mchele yameleta nini kwenye hii wod Kap 😳😳😳
 
Wewe OllaChuga Oc naona kichwa yako inajiless, Gallas alitoka Chelkenge ndo aka Arsenal, muone huyu au umeanza kushabikia mwaka amba JPM alikabidhiwa nji. Au mwezi mchanga?
 
@Davidornstein | Kipaumbele cha Arsenal katika dirisha la Januari ni Winga wa Shakhtar, Mykhaylo Mudryk.

Hakuna makubaliano lakini mazungumzo yanaendelea na Mudryk ana nia ya kujiunga na Arsenal.

Vyanzo vinasema dili linaweza kukamilika kwa dau litakalo kuwa chini ya €100m ambalo viongozi wa Shakhtar wametaja hadharani.
 
Niwafungue tu akili, Arse88 ina kikosi kidhaifu sana hamuwez kubeba hat kikombe cha kahawa msimu huu. Mkitaka kuamini Angalien wachezaji wote wa Arse88 waliokua WC ni wawili tu ndio waliokua wanaanza kikosi ch kwanza kwnye timu zao.
Unadhani sisi Ni chelkenge

Kikosi Cha €300m

Uwanjani wanarukaruka
 
Unadhani sisi Ni chelkenge

Kikosi Cha €300m

Uwanjani wanarukaruka View attachment 2447853
Hii picha yako inaonyesha Arsenyani ni wazee wa kuvuta banghe, yaani ni wale wa kulipuliza haswahaswa mpaka wengine wanahamishiwa kwenye hoteli ya Mirembe five stars.
Ndio maana humu mitusi haikauki kumbe sababu ni hayo majani ya chai.
 
Na huyo Bellingham ni overated tu, makelele ya waingereza.
Bellingham Ni Overrated ipo wazi

Akikutana na Viungo wenye akili kidogo tu anapotea

Nilivyomuona mechi nyingi anatakiwa acheze alongside na 2 holding Midfielders ,ndio maana anaenda Liverpool ,maana Klopp atamtumia hivo

Ila akichezaga kwenye double pivot au no.10 huwa inategemea anakutana na Viungo gani

Mechi na USA ,alicheza Kama double 8 yeye na Mount nyuma Yao alikuwepo Rice , alipotezwa vibaya Sana ,alipoingia Henderson wakatulia .

Kinachonishangaza liverpool wame sacrifice msimu uliopita kutosajili kiungo wakisubiri summer 2023 watoe £130m kwa Bellingham.
 

Kiwango chake ni Sawa kabisaaaaaa na Joe willock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…