Na wewe umepatani?Mechi za mazoez hizo. Nyie mmeshinda ya Acmilan mmepata nini?
Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua njoo huku unaitwa fasta muweke sawa.Niwafungue tu akili, Arse88 ina kikosi kidhaifu sana hamuwez kubeba hat kikombe cha kahawa msimu huu. Mkitaka kuamini Angalien wachezaji wote wa Arse88 waliokua WC ni wawili tu ndio waliokua wanaanza kikosi ch kwanza kwnye timu zao.
Watu wako world cup nyie mmesharudi London..Arsenal Training London umejaa barafu aiseeView attachment 2444252
Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua, fanza ukuje huku unaitwa fasta......Watu wako world cup nyie mmesharudi London..
Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua, fanza ukuje huku unaitwa fasta......
Unaona sasa Flano umeanza uongo, Macron alimpongeza Sofyan Amrabat tu....hizo ni nongwa zako tu Ulikamafu, ARVnew alichoongea ndio ukweli wenyewe.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Unaambiwa raisi wa ufaransa bwana Emanuel Macron ametuma ujumbe wa kuishukuru sana United kwa mchezaji wao Rafael Varane kuwavusha mpaka kufikia kwenye fainali za World Cup.
Hebu soma vizuri kwanza nilichoandika.Unaona sasa Flano umeanza uongo, Macron alimpongeza Sofyan Amrabat tu....
Sijui aisee.Hebu soma vizuri kwanza nilichoandika.
Nimezungumzia kushukuru sio kupongezwa.
Unajua maana ya kushukuru wewe?
Nyie matakataka arse8 na kakikosi kenu kiduchu mutashaini tu huu musimu uu. Mukipata majeruhi ndio mutajua hamujuiInasaidia vipi ChelKenge isiendelee kwenda mkianiView attachment 2442521
We mujamaa wewe una shombo.Nyie matakataka arse8 na kakikosi kenu kiduchu mutashaini tu huu musimu uu. Mukipata majeruhi ndio mutajua hamujui
FIFA President Gianni Infantino mwenyewe ameishukuru sana Man United na kusema wachezaji wa United ndio wamenogesha zaidi michuano ya world cup mwaka huu, Infantino ameendelea kudai kuwa bila ya wachezaji wa Manchester hii michuano isingekua na tofauti yoyote na mashindano ya Ndondo cup.Unaona sasa Flano umeanza uongo, Macron alimpongeza Sofyan Amrabat tu....
Aya matakataka yanatukubali kinoma ndio akina Fabrigas, Gallas, Ashley Cole, Geroud walitoka arse8 wakaja kwetu wakapata mafanikio ya kutosha. Hamuna timu apo EPL isiyoipenda Chelsea. Chelsea ni mufano wa kuigwa, siyo manjestaa, siyo Livakuku, siyo nani..wote wanatamani kufikia mafanikio yetu. Sisi ndio Chelsea bwana, timu inayopendwa dunia nzima.🤣🤣🤣😂OllaChuga Oc Cash Money Forever lembu kumbe Chelsea ndio role model wa Arsenyani.
Kwenye kuta zote ndani ya gym ya Arsenal zimebandikwa picha za wachezaji wa chelsea na maneno ya kuwahamasisha ili siku moja na wao wawe na timu bora kama chelsea.
"A WINNER NEVER STOP TRYING"View attachment 2443727