hakuna Comebackkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk.............................Walcooooooooooooooooooooooooottttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
We unataka acheze kila mechi tu kwani ye hachoki?
tangu wamfananishe na Zidane....anataka kuonyesha ubora zaidi....go go Nasri...proud of you my son!Nasri pasi ya nini pale wakati unaweza kupiga dongo.
duh,...kesho shule hatuendi jamani? naomba ukalale...!!kuna watu nikishwaona hapa najua matokeo yatakuwaje......:rant:
what a goal from van de vaaat
tangu wamfananishe na Zidane....anataka kuonyesha ubora zaidi....go go Nasri...proud of you my son!
Tatizo la Arsenal ni nini jamani? tukishafunga tunalegea au??? i don't get it....i just don't!! fed up with same crap!!
not trueMbona Vidic anacheza kila mechi? lol
kaka Sijaona Command button ya THANX..... Ila hii nimeipenda mazeeeee