Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Acha kutudanganya hapa , Partey alikuwa starter pale ATM,


Unauliza Murdky amekuwa proven wapi? Upo serious kweli , Mchezaji anacheza timu inashiriki UCL , wewe unaleta Siasa uchwara

Atletico Hana falsafa ya possession football , hata miaka yote aliyobeba laliga

Unashangaa Arsenal kumtaka mchezaji kutoka Ukraine ...ila hushangai Arsenal kumnunua Martinelli kutoka Ligi daraja la 4 Brazil na kuja kuwa starter .
 
Klabu haiwezi kusajiri wachezaji na kuwajaza ,imehangaika kuwaondoa wengine imewavunjia mikataba

Unadhani wajinga ,

Man u wenyewe wameanza kutoka huko ...
 
Twende taratibu RB ni tomiyasu na Cedric ila white kawekwa hapo baada ya kukosa namba baada ya Salina kuja that's for the fact. Lakini hatuna LCB ukisema Tomiyasu acheze hapo nani atacheza RB au ndio Cedric acheze mechi 40 plus?? Hizo combination unazopanga hapo una assume kuwa maeneo mengine yote hayana injury au suspension which is unrealistic.

Yaani Tomiyasu akicheza LCB kumbuka Tienrey na Zinny ni wagonjwa so tegemea Tomi atakua stop gap meaning anaacha gape kwenye RB akiwekwa white means RCB anabaki Saliba, same time LCB anakua Gabi pekee Sasa kuwa na mchezaji mmoja kwenye mechi 40+ zilizobaki ni risky sana ndio maana depth inahitajika.

Kuna wakati Partey na Elneny walikua wote hawapo mkaja kulialia hapa kuwa Lokonga is not ready sasa mjinga pekee anayeona hakuna haha ya depth eti kisa Kuna combinations!!!! Hii Sio FIFA au FM ni real soccer Kuna injuries, suspensions na kesi za ubakaji!! So msipo address Hilo utarudi kuwa kituko kama msimu ulipoisha.
 
Arsenal haiwezi kusajiri jombaa kama utakavyo wewe , tunakwambia huelewi unakaza shingo

Unatuletea Assumption humu

Arsenal kwenye backline msimu huu haijawahi kukosa option

Kuna kipindi had KT na Tomiyasu unawaza uwaweke wapi, lakini uzuri Tomiyasu anakamua namba zote za beki Tena Hadi DM Kama...hujui Sasa Nakupa hiyo.


Kabla hata hujafikiria kumtumia Tomi as LCB, Kuna Partnership za Saliba White ,Saliba Holding

Assumption zako Ni za kipuuzi Kwamba Tomiyasu, White ,Magalhaes ,Cedric , wote waumie kwa muda wa miezi 3+

Hizo assumption zako Ni za kipuuzi
 
Klabu haiwezi kusajiri wachezaji na kuwajaza ,imehangaika kuwaondoa wengine imewavunjia mikataba

Unadhani wajinga ,

Man u wenyewe wameanza kutoka huko ...
Kroenke's washasema sasa hivi hamna kusajili, Arteta achague makinda wa timu ya daraja la pili.
Usajili ni kupoteza pesa tu wakati sisi Wamarekani sera yetu ni kubana matumizi na kuongeza faida kwenye kampuni.
Arteta tumeshamwambia afate sera za mzee Wenger.
Tunasajili makinda wa £50,000 halafu tunayaongezea thamani kisha yanaingia kucheza ligi kuu.
 
Huyo Felix wako tafuta timu mpeleke, Kama kocha wetu hamuhitaji usilazimishe ,

Arsenal haichezi ilimradi,Ina mfumo rasmi, sio kila mchezaji ataingia ,ndio maana Ozil, Auba , Leno, walioneshwa mlango wakutokea


Huyo Felix hata world cup hatumsikii ,tunakasikia kina Saka, Mbappe, Rashford , n.k
 
Hapana , Arsenal inasajiri January hii wide player na DM asilimia kubwa Ni huyu Danilo anaandaliwa kumrith Partey baadae .

Arteta alikuwa na mabosi wikiend

Summer Alipewa £50m za Raphina ,alipomkosa ,akasema Basi kama hawatapata right player Basi atasubiri January .
 
Financial fair play is a factor [in Arsenal’s January spending], the budget as accepted by the Kroenkes is another & Mikel Arteta’s standards is another - Arteta has no intention of bringing in anybody who is not capable of walking into the first team. [@TheAthleticFC] #afc
 
Hii post aliandika nani? We jamaa ni mpuuzi sana nimegundua.
 
Sasa hapo wewe ndio nimegundua mpuuzi ,

Napigizana kelele na mwehu humu

Mimi Ni THE ATHLETIC?

ndio maana unatema pumba tu humu
Wewe ndio uliripoti kuwa Lokonga anakua viewed na Arsenal kama replacement wa Partey hao athletic ni credible source Sasa unachotaka kupotosha hapa ni Nini au unajua sana Role ya Lokonga kuliko the atheltic ulio cite??
 
Ndio maana nimesema msiposajili mtakosa top 4 mbona it's simple and clear ama nilisema ni lazima tusajili. The thing is mnaleta ujuaji kwa vitu obvious kabisa, Mimi nabet kabisa msiposajili hizo areas of depth sio tu tutakosa ubingwa Bali hata Top 4.

Hii post naitunza tutarudi Tena June kama nilivyosema last January nkaishia kuzodolewa.
 
Wewe ndio uliripoti kuwa Lokonga anakua viewed na Arsenal kama replacement wa Partey hao athletic ni credible source Sasa unachotaka kupotosha hapa ni Nini au unajua sana Role ya Lokonga kuliko the atheltic ulio cite??
Mbona hoja yako haieleweki Sasa ?

Nimegundua napoteza muda na mtu mwenye utindikio wa ubongo

Umeona kabisa chanzo Ni The Athletic ,Tena Ni kipindi ambacho baadae Arteta akasema kwa alivyomuona Sambi anafaa zaidi Kama Advanced 8,

Umeshindwa hoja unaleta Siasa uchwara ,nilikwambia nenda kwenye Siasa uchwara hukusikia
 
Dah @hamiss77 nashauri msibishane kwa namna mnavyobishana.
Naona wengi tunashindwa kuhandle excitement hasa muda ambapo kila shabiki wa mpira anaitazama timu kwa jicho la mshangao na matarajio makubwa
Sawa kabisa, hawa jamaa sasa wanatukanana tu, tunakuwa kama twagombea fito kwenye ujenzi wa nyumba yetu.
 
Taratibu muzee.
 
Wewe kapige ramli, tunashangaa Kwanza Nani alikwambia Arsenal last season ilikuwa malengo Ni top 4?

Malengo ilikuwa top 6, akaingia top 5, akazawadiwa new contract

Sasa hayo ya kudai malengo ilikuwa top 4 umeyatoa wapi? Acha ramli kijana


Arsenal inasajiri sio kwa wachezaji wako wa mfukoni

Watu wakae maabara watengeneze mfumo unaofiti wachezaji


Wewe upo mbagala kimbangulile uwapangie wachezaji?


Humu humu Kuna Kama wewe walimtaka Onana over Ramsdale

Buendia over Øde

Royal over Tomiyasu

Xhaka afukuzwe

Jesus asije

N.k


Leo Wana appreciate kazi ya kocha .


Nakushauri Rudi kwenye Siasa uchwara za CHADEMA na ccm .


Mpira Ni sayansi na project
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…