Ila Lucho nae bonge la kocha aisee, Kuna cycle flani ya makocha wa kispain wenye character/idea za Pep ,Pep akiwa Kama Idol wao , aisee wanajua soka,Wana mbinu
Jana Mechi ya Spain ,ukiangalia Lineup Rodri aliwekwa CB , ila ndani anacheza Kama Kiungo, Yale Yale ya kina Arteta ,Zinny LB ndan anacheza Kiungo,
Sasa ndan ikawa Rodri na Bosquet wanakuwa Viungo , Pedri na Gavi wanasogea juu wanatengeneza Rectangle shape
Bhana weee!! Zinapigwa pass Kama mvua ,unafanyiwa Overload kila eneo
Mechi nzima zilipigwa Pass 1045
Hivi Kuna Mechi zimewahi pigwa pass nyingi kiasi hichi?
Halafu hawategemei lazima uwe na CF ili upate magoli,
Ukiona timu yako inalialia eti lazima mpate CF wakusimama ili mshinde Mechi ,ujue bado mnasafari ndefu ....
Yule Gavi Ni fundi sana ,sio overrated Kama wengi wanavyosema ,yule Bellingham Sasa ndio overrated (utakuja kunielewa baadae)
Luis Enrique Martinez (Lucho) anajua