Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ode alikuwa maarufu sana kipindi yupo timu ya wadogo watu wakajua ni Messi au Ronaldo mpya sijui nini kilichotokea mpaka akawa timu za wakubwa kabla ya Arsenal kurudisha makali yake.
Alikuwa ana balaa hiyo miaka ,media zilimuandika Sana ,

Ndahani media zilimuharibu kwa kumpa presha, hata Madrid palishamshinda, hata alivyokuja Arsenal kwa mkopo bado hakukubalika ,

But Arteta trust him ...

Klopp anasema alimtaka alipokuwa na miaka 15, Ndio kipind Madrid Kama kawaida yake ,alikuwa Zile talent Zote anazibeba, Ndio maana malegend wengi wa Madrid unakuta wameanzia pale toka wadogo,

Klopp said

'I really like him,' he told TV2. 'It's easy these days. It was a bit more difficult at the start of his career when he was at Real Madrid. Then it looked like it might not go his way.

'I was really disappointed by that, because we wanted him in Dortmund when he was very young. We had a long conversation when he was still a boy, together with his father. In the end he decided on Madrid, and that's fine, but that's why I've always followed him.'

The Liverpool boss added: 'You can only imagine how many talents, huge talents, crazy talents, I have seen over the course of quite a while in this industry. At the time, Martin was 15 years old and already playing in Norway. The whole world went berserk.

'Until he was 15, he probably experienced no hardship. After that, a lot of things went against him. It makes him the person he is now, the man he is now, and the player he is now. I'm really happy that he has now become the player we all expected him to become. In fact, even better than that, if you will.

'He plays a massive role in an incredibly strong Arsenal team.
 
Tofauti zake nini hizo roles?
Bro mbona ni wazi bana, TD ni mtaalam/boss wa kiufundi akisimamia eneo hilo moja tu kwenye timu husika. Ila SD ni anasimamia/boss wa masuala yote ya michezo, means wadada, unders, academy, walemavu etc. So the latter position is bigger than the the first. Yaani ni boss wa wote makocha etc. Kwa kesi ya Edu sasa ni member kwenye magt board na ni permanent employee na hana mkataba kama makocha na wachezaji.
 
Sheikh Xhaka
IMG_20221118_212110.jpg
 
MUDRYK AILAUMU SHAKTHAR KUMPANDISHA BEI KUBWA

| Mudryk: “Baada ya kusoma mahojiano ya mkurugenzi wa Shakhtar[kutoka The Atheltic], nilikasirika sana. Kiasi cha €100m kinaweka kizuizi kwa Safari yangu ya kwenda Timu za juu, ambazo nilitamani sana. Siwezi kusema kwamba ndoto yangu iliuawa, lakini imejeruhiwa, kwa hakika.

|

“Serhii Anatoliyovych [Mkurugenzi wa Shakhtar] anasema kwamba wakati utafika. Labda hivyo. Lakini nina maoni yangu kwamba kwa kiasi kama hicho(€100m), wakati huo hautakuja hivi karibuni kamwe.

| ninachukulia ubingwa wa Ukraine kwa heshima yote, lakini kila mchezaji wa mpira ana ndoto ya kucheza katika vilabu vya juu. Nina uhakika 100% kuwa hakuna uwezekano wa hizo timu kununua mchezaji kutoka kwa ligi ya Ukraine kwa €100m.

| “Lakini klabu imeamua kuniacha. Niliichukulia kama kawaida kabisa, kwa sababu ninaiamini kabisa usimamizi wa Shakhtar.”
[
| “Nilitumaini sana kwamba mchezo wangu ungeleta manufaa makubwa kwa Shakhtar na kwamba vilabu kutoka kwenye michuano mikubwa ya Ulaya vingevutiwa nami. Nilizungumza na wakala wangu na ninajua kuwa katika msimu wa joto kulikuwa na ofa nyingi kutoka kwa vilabu kwa ajili yangu. #afc
Baada ya kumalizika fainali za kombe la dunia kuna wachezaji wengi tegemeo watakua majeruhi, kipindi hicho kutoa £100m ili kumsajili Mudryk itakua ni pesa ya kawaida na huenda kukawa na timu zaidi ya 2 zenye nia ya kumsajili Mudryk kwa hilo dau.
Niliwaambia tokea mwanzo kua mkishindwa kumalizana na Shakhtar Donetsk kwa £65m kabla ya kombe la dunia hamtaweza kumnunua tena baada kumalizika world cup.
 
Back
Top Bottom