Yaani Chelsea katumia £300mninyi maaarse8 musipochukua ubingwa musimu huu nitawadharau sana. Maaana timu kubwa karibu zote ni tia maji
usajili sio guarantee ya kuwa na timu bora. Mufano sisi Chelsea tunahitaji muda ili kuijenga timu vizuri. Ninyi maarse8 kwa sasa muko kwenye Killeen chenu cha kuelekea mafanikio. Musipoyapata ndani ya huu musimu basi mutakuwa na wakati mugumu sana hapo msimu kesho. Angalia msimu ule ambao mulimaliza nafasi ya pili nadhani nyuma ya Leicester. Baada ya apo nib kiliwapata? Mulipoteana😒😒😒😒Yaani Chelsea katumia £300m
Man u £250m
Liverpool kasajiri CF kwa €80m
Totenham katumia £150m
Forest katumia £155m
Wolves katumia £140m
WANAKUWAJE TIA MAJI TIA MAJI
Akili imeanza kukurudi mdogo wetu[emoji3][emoji3][emoji3]ninyi maaarse8 musipochukua ubingwa musimu huu nitawadharau sana. Maaana timu kubwa karibu zote ni tia maji
Hahaha hapana siku hizi nimeacha mambo za kujaribu kumuelewesha mtu vitu.Umekuwa mkweli kitu Kama hujui unasema sijui
Sijamfuatilia huko nilimcheki akiwa Fiorentina ambako alikua ni RCBAsilimia 60% ya mechi za Japan anatumika kama LCB au LB before hajacheza arsenal.
Yes siyo dominant kwa huge ambidextrous % kufikia Cazorla na Dembele lakini ni above Lallana, Perisic, Pedro na Jota.
kacheza bologna fc 1909 na sio fiorentina..Sijamfuatilia huko nilimcheki akiwa Fiorentina ambako alikua ni RCB
Tomiyasu hajawahi nadhan kupita fiorentinaSijamfuatilia huko nilimcheki akiwa Fiorentina ambako alikua ni RCB
Hapo unatupanga,inabidi utetee hoja yako, Sasa hapa unawezaje kusema umeacha kumuelewesha Utakuwa mtu ,ikiwa ukweli upo wazi , Tomiyasu akiwa bolgna amecheza Kama RB mechi kibao ,alikuwa anamkamia Sana CR7 wakikutana na Juve, Japan amecheza nafas Zote za Beki unazozijua ,Hahaha hapana siku hizi nimeacha mambo za kujaribu kumuelewesha mtu vitu.
Yaani nianze kuuliza mechi ipi Tomi kaanza LB wakati wote tunajua ni ipi na bado mtu anasema huyu kacheza LB mechi nyingi msimu huu mi nikae nakuelewesha?
Tomi anakuja Arsenal mimi ndiye nilipoint kwamba jamaa ni natural CB hatutakua lethal kushambulia kutokea kulia ila tutadefend vizuri.
So hizi mambo za kuandika sana nimeachana nazo siku hizi naingia namuulizia Ollashoga na lembua wako wapi najiondokea.
Hujaacha kuelewesha,unatakiwa ukubali nilikuwa sijui ,hutapungukiwa kituHahaha hapana siku hizi nimeacha mambo za kujaribu kumuelewesha mtu vitu.
Yaani nianze kuuliza mechi ipi Tomi kaanza LB wakati wote tunajua ni ipi na bado mtu anasema huyu kacheza LB mechi nyingi msimu huu mi nikae nakuelewesha?
Tomi anakuja Arsenal mimi ndiye nilipoint kwamba jamaa ni natural CB hatutakua lethal kushambulia kutokea kulia ila tutadefend vizuri.
So hizi mambo za kuandika sana nimeachana nazo siku hizi naingia namuulizia Ollashoga na lembua wako wapi najiondokea.
Hajawahi kucheza fiorentina ,Ni bolgnaSijamfuatilia huko nilimcheki akiwa Fiorentina ambako alikua ni RCB
Zinchenko pia anatakiwa awe makini sana, kwa hizi shobo za Vlada kwa Mykhailo hazina dalili nzuri, muda sio mrefu Zinchenko atagongewa mke wake.Interview ya Mykhailo Mudryk na Vlada Sedan (mke wa Zinchenko) imekaa kimkakati sana, Bibie kuna namna anataka kijana atue kaskazini mwa London (Arsenal). View attachment 2416674
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani muacheni amesema sasa hivi hana muda wa kuelewesha maboga halafu wewe na hamis77 mnakuja na evidence kabisa.Hajawahi kucheza fiorentina ,Ni bolgna
Msimu huu akiwa Arsenal kacheza Hadi Sasa mechi 17
Mechi 6 Kama LB
Mechi 11 RB
Hivo ulivyodai alicheza mechi 1 dhidi ya Liverpool tu sababu ya tactical reason ,Ni wazi huenda huangalii mechi au unafatilia kwa liverscore
Sio kumuelewesha mtu,dunia Sasa hivi Kijiji ,huwezi kumdanganya mtuHahaha hapana siku hizi nimeacha mambo za kujaribu kumuelewesha mtu vitu.