Tena leo usishangae team isiperform kama siku zote za awali kila mchezaji ana ndoto ya kuplay world Cup na yoyote akipata injury hatashiriki michuano hiyo so mf Martinelli Saka na wengine wote hawatataka kupata injuries na hata kwa team zingine inawezekana EPL ya Weekend hii isiwe na competition watu wakiiwaza world CupGhana na Uswisi nawaombea watoke mapema World Cup
Xhaka na Partey warudi mapema
Hawa wengine najua hawatakuwa starter Sana
Ile mechi na Chelsea ilikuwa Nyeupe Sana kwa saka , yule cucurella alikuwa chochoro kabisa, Cha ajabu Saka hata hakuwa hatari Kama siku zote, na nilihisi hiko kitu,Tena leo usishangae team isiperform kama siku zote za awali kila mchezaji ana ndoto ya kuplay world Cup na yoyote akipata injury hatashiriki michuano hiyo so mf Martinelli Saka na wengine wote hawatataka kupata injuries na hata kwa team zingine inawezekana EPL ya Weekend hii isiwe na competition watu wakiiwaza world Cup
True leo ilikuwa haina haja ya EPL na wolves atatumia huo mwanya kukaza mtu kama Martinelli Saka White world Cup ni golden chance kwao kwa kweli ni mtihani leoIle mechi na Chelsea ilikuwa Nyeupe Sana kwa saka , yule cucurella alikuwa chochoro kabisa, Cha ajabu Saka hata hakuwa hatari Kama siku zote, na nilihisi hiko kitu,
Arteta Jana kazungumzia ,na amewaomba wasiwaze World Cup ,
Yaani leo sitashangaa mechi kuwa ngumu kupita maelezo,
"I'd like to say a lot (of City influence at the Emirates) but I'd lie to you. Mikel and I worked together for 3 years.
'He was taught since he was born. Maybe I learned more off him than he did off me when we worked together. "
- Pep Guardiola
Labda kwa makocha wengine, ila Pep huwa mkweli, had kwenye Kitabu chake amemuelezea Mikel Arteta, ameelezea aliwahi kumuomba mbinu jinsi ya Kuifunga Chelsea ,Wakati huo Arteta Ni mchezaji ,pep kocha BarcaHuyu Pep atakua alishawahi kukaa magomeni mapipa,
Waswahili wa Magomeni ndio tuna hizo tabia za kuwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa.
Huyu muhuni ameshashtukia kua Arteta hatoboi katika mechi zilizobakia za round ya kwanza ndio maana anatuletea kejeli mashabiki wa AsaniWali.
Na sisi tulivyo mazuzu tunachekelea na kukenua meno yote nje kumbe Mwamba anatudhihaki.
True leo ilikuwa haina haja ya EPL na wolves atatumia huo mwanya kukaza mtu kama Martinelli Saka White world Cup ni golden chance kwao kwa kweli ni mtihani leo
If you haven't already check out this video on Mudryk!
- YouTube
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.t.co
Ikifika mwezi May mtamkana wenyewe huyo Mateka wenu, mimi ninachokifanya sasa hivi ni kusave tu hizo comments zenu halafu nitawaonyesha kipindi mtakachoanza kulialia humu ndani kua Arteta afukuzwe.Labda kwa makocha wengine, ila Pep huwa mkweli, had kwenye Kitabu chake amemuelezea Mikel Arteta, ameelezea aliwahi kumuomba mbinu jinsi ya Kuifunga Chelsea ,Wakati huo Arteta Ni mchezaji ,pep kocha Barca
Kipind Arteta amefika Arsenal Kama kocha alipoaanza kujenga timu Kuna mashabiki walileta Maneno, akasema Watu hawamjui Arteta ,akasema Kama Bodi ya arsenal itamfukuza watakuja kujuta
Juz Rio kamuuliza Pep kwenye kipind BT SPORT , kamuambia inaonekana umetengeneza Monster (Arteta)
Pep akasema ,Arteta Anajua Sana na hata yeye Pep amejifunza vingi
Arteta pia aliulizwa vipi mnawasiliana na pep had Sasa, akasema kila Siku wanajadili Kuhusu mpira , ila sio Kuhusu Arsenal na city
Wachezaji wa mancity kina KDB, n.k hata kina Sane, Sterling,Jesus ,Zinny wanamzungumzia Arteta Kama moja ya wakufunzi Bora.
Dogo ana balaa na nusu huyo.Huenda humjui ,eti Flano Murdky Ni wakawaida? Mancity ,Madrid, Juve ,Arsenal wanamfukuzia
Anatumia Miguu yote
Anacheza Winga zote
Unaweza kumtumia pia Kama no.10
Kasi
Passing ability
Pausa