Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kawaida yet hatunaga shobo na EFL, hao Brighton ngoja tukutane nao kwenye ligi ndio watajua hawajui.Sisi focus yetu ipo kwenye makubwa hususan taji la league.
 
Mikel Arteta:

“Losing is [disappointing], but the way the boys tried & played & the amount of changes we had to make because of the congestion & we have to protect the players. I’m really happy with that, but we wanted to continue in the competition & unfortunately, we are out.”
 
Tunahitaji wachezaji watatu na kuwaondoa wachezaji wengine angalau wawili , Hadi summer tuongeze jumla watano au Wanne ,tutapata Nguvu ya kupambania mataji manne
 
Brighton ndio makombe yao hao

Kwa kikosi chetu tutakua jino kwa jino

FA
Europe league
Premier leagu

Na inahitajika tuongezea watu (2) pale January

Aaron Arsenal katuma press ya arteta baada kufungwa
Unagundua technically tumejitoa kwenye huu mpambano carabao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…