Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kina martinelli, waache utoto, ukicheza game ngumu, nafasi ni chache hizo hizo inabidi utumie kumuadhibu adui. Jesus, partey, white, Saliba wanacheza unaona ni Matured players kabisa. Hata xhaka shida ni vile hanyumbuliki tu, ila anafanya kazi kikubwa.
 
Hatukuwa na matumaini ya kuwa EPL winners but kwa Top 4 ilikuwa ni suala la lazima kwa sasa tumeachana na top 4 tunatafuta ubingwa na tupo very serious na hilo kwa sasa so let's hope kwa hili
Kuwe na addition ya wawili au watatu kwenye nafasi muhimu, fatigue na hii marathon tusije kukimbiana May mkuu.
 
Kuwe na addition ya wawili au watatu kwenye nafasi muhimu, fatigue na hii marathon tusije kukimbiana May mkuu.
Kwa sasa hili suala ni la lazima January lazima tuingie sokoni ASAP tuna quality ya first eleven pekee benchi letu ni Maji kujaa ukimtoa Tierney na Matt (Goal keeper) hakuna mwingine wa kuoffer jambo jipya Arsenal
 
Unawakosea heshima Tomiyasu, Smith Rowe,elneny

Tena Elneny mnamdharau ila Arteta anamuelewa Sana, hata Vieira yupo vzr ila Ni Kama anahitaji muda ,unakumbuka alipokuja Odegaard alivyokuwa ovyo

Naimani January tutaongeza wawili
 
Tomiyasu ni first 11 ,Elneny Nketiah Holding Cedric Lokonga hawa wote wanajaza nafasi za ambao hatujawasajili wenye nia ya kuja kufight kama ambao tunaanza nao kwenye squad ,Vieira huyu apewe muda ndio first season yake Arsenal inawezekana akaimprove
 
Hatukuwa na matumaini ya kuwa EPL winners but kwa Top 4 ilikuwa ni suala la lazima kwa sasa tumeachana na top 4 tunatafuta ubingwa na tupo very serious na hilo kwa sasa so let's hope kwa hili
Kweli, Hata Mimi sikutegemea kama timu itaimarika kiasi hiki!... Tukiongeza wachezaji wawili au watatu january, HAKIKA tunabeba ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…