Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Hivi Will Jr mbona haonekani siku hizi?
Au ndio ameenda kuungama na kutubu dhambi ya kumsema Partey ana Ziro IQ?
Mwanangu Will Jr wewe ndio hua unalichangamsha hili jukwaa kwa matusi.
Tunakuomba tafadhali tupo chini ya miguu yako usilikimbie jukwaa la mabingwa watarajiwa wa Europa, Epl, FA, Carabao na CECAFA.