Mechi zetu zinaamuliwa na Midfielders sio kitu kibaya but sometimes washambuliaji lazima wascore kwa kweli kama game ya leo or vs PSV tunaweza tukasema Xhaka na Tierney wamescore magoli muhimu sana bila wao inawezekana tungeenda round ya 32
Nketiah soon atauzwa , Arteta amesema kwa ilipofikia timu Sasa wanahitaji another level ya players
Unajua Nini ipo hivi, Nketiah atajiondoa automatically , soon Arsenal wataleta winger , kwa hiyo pale mbele nafasi yake itazidi kuwa finyu,
Lokonga anajulikana Ni chaguo la 3 , Jana kacheza sababu Xhaka alikuwa suspended
Kurejea kwa Elneny , automatically looking anakuwa 3rd choice
Kumbuka Arsenal ipo njian kuleta DM mwingine , hivo lokonga atakuwa 4th choice pamoja na nketiah
Mwisho lokonga ataenda loan , nketiah timu kibao zinamtakaga ,Mwaka Jana Arsenal aligoma kumuuza kwa £15m ,
Safari hii atauzwa
Tunahitaji madirisha mawili tu ili kuwaondoa Nketiah, lokonga loan , holding , Cedric
Kisha tushushe Quality 3 tu zinazocheza Nafas 2-3 kila mmoja ,
Wakati msimu unaanza Edu alisema Msimu Jana ilikuwa Ni ku cement Aina ya uchezaji , akasema phase inayofata Ni kusajiri Quality player
Akasema soon tutafikia hatua tutakuwa tunasajiri mchezaji mmoja au wawili katika dirisha moja .
Jana Arteta akasema pia

| Mikel Arteta on the January window:
“With the position that we are in right now as well, it demands as well another level of player - and that player has to be available. We will look at everything and let’s see what we can do."