Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Soko siku hizi limeharibika saana, tunapoelekea itakuwa watu wanajiwahi kwa watoto wadogo.

Anthony unatoa paundi milioni 100 hii iahaluwa biashara kichaa kwa kweli.
 
Game yetu na Chelsea pata chimbika,
Hapa karibuni tumewabomoa bomoa so hii lazima watukazie Kama man u walivyotukazia na huyo Auba atajitutumua atu prove wrong.

Nafkir tutaenda WC tukiwa nafasi ya pili, bado sio mbaya..


Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Amini amini nakuambia Chelsea atapigwa kama walivyopigwa wenzake

Moja kati ya game ntaangalia kifua wazi ni hii

Mtu kazi Partey, xhaka, odegard,
Pale kati patakua pamoto sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Nyuma yupo Gabi, white, saliba, tomiyasu, Tierney
Sijui watapitia wapi?

Kule mbele sasa, Jesus, martinel hawa wanatosha kumaliza show
Nasikia saka atakuwepo
Nketiah, Nelson hawa pia kazi wanaiweza

Kumbuka Chelsea hawana ngolo kante,
Huyu mwamba kuna kipindi Hazard anakuambia ngolo kante yupo kila sehemu, wakipoteza mpira yeye ndio mkabaji na wakiwa na mpira anamuona yupo kwenye kushambulia
Chelsea ni pigo sana kumkosa huyu mtu

Kama arsenal akimkosa partey


Chelsea atakufa vizuri tu kuanzia 3+
 
Ata mi naombea iwe hivo,

ila derby match hua haziamuliwi sana na current form, mfano pamoja na ubovu wa liver ila City akalala yoo

Game ngumu ila ofcoz tunaweza kushinda, tusubiri tuone

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Arsenal technical director Edu will meet Facundo Torres' representatives to discuss a potential move this weekend. Torres is very keen on a move to the Premier League leaders. [@charles_watts]
 
Hata Top 4 ni ngumu sana. Unataka top 4 na huna sub kwenye bench?
 
Hivi Anthony ana kipi ambacho anamzidi Pepe?

Yule Pepe hapo man u anaanza kikos chenu panga pangua

Anthony huyu ambaye hawez 1v1 ,

Scholes kila siku anawaambia hakuna mchezaji pale ,
Mkuu una hasira nae. Mechi yake ya kwanza EPL alikuchapa..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hata Top 4 ni ngumu sana. Unataka top 4 na huna sub kwenye bench?
Leta msimamo au hii Kaz uliacha ?

Akili zenu sijui zikoje

Nakutajia Sub za Arsenal inapokuwa full halafu fananisha na Timu yako


Mart Turner

Smith Rowe

Kieran Tierney

Zinny Zinchenko

Fabio vieira

Nelson

Nketiah

Elneny


HAWA WACHEZAJI KWENYE TIMU YAKO WANAANZA KIKOS CHA KWANZA
 
Mkuu una hasira nae. Mechi yake ya kwanza EPL alikuchapa..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi Siku Hizi uliacha kuleta msimamo wa Ligi au kazi ilikushinda?
 
Chelsea will Suffer


Oleksandr Zinchenko is expected back in training this week, ahead of the game against Chelsea this weekend.
 
Emily Smith Rowe


Nimemisi Kazi ya Smith Rowe , atachukua mpira atakukimbiza kuingia kwenye box ,

An example of a ball carrier


Kuna Saka , Martinell na Odegaard, Lakini Smith Rowe ndiye mchezaji namkubali Sana


Arteta kambadilisha Sana, Mchawi majeruhi tu


a no.10 ambaye atatokea pemben kuingia ndan ,INVERTED NO.10


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…