Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
I would love to see Tierney playing 3 and Tomiyasu 2
[emoji3][emoji3][emoji3] hamis77 unanifurahishaga sana na uchambuzi wako but for my opinion it's too early kuongea haya kwanza huwezi kufananisha kikosi cha Arsenal na Manchester City abadani tunapenda football na tunaipenda Arsenal yetu kikosi cha City kila sehemu almost ina replacement sisi tuna squad ya first eleven pekee ni wachache sana kwenye benchi ambao wana quality ya kutosha kama Tierney but wengine waliobakia wana homa ya vipindi (Nketiah Holding Lokonga )but tuendelee kuenjoy football kwa sasaCity ana wachezaji wangap?
City asilimia 80 wachezaji wake Ni hao hao ila wengi versatile TU
City mech na man u hakuwa na Rodri, DM anacheza Gundo akisaidiana na Bernado,
City na Arsenal Wana squad ya wachezaji 24 tu ukilinganisha na man u au Chelsea au Liverpool wenye squad ya wachezaji 30-31
Arsenal wapo karibu Sana kuwa na quality kila eneo
Soon akija winger anayecheza Nafas 3 na kiungo anayecheza Nafas 2-3 tunafunga hesabu
Kwasasa tuna upungufu wa quality eneo la DM & CM hapa analetwa mtu anayeweza kucheza Nafas zote mbili,
Niliuliza swal Kwan Pepe ana ubaya gan wakuwa backup player? Pepe Hana tofaut na Anthony wa man u
Ila Arteta alisema Arsenal haipo Tena kujaza lundo la wachezaji wasio na Quality
Baada ya kumkosa Raphina hawakutaka Tena kuokotaokota wachezaji kisa Ni winga aje TU
Huyu Arteta kinamkuta kinachomkutaga pep wakati mwingine, over thinkingKwanini aanze Tomiyasu wakati Tierney yupo?
Haya ngoja tuone.
1-0 Martinel.... assist sakaMnaocheki gem weken updates
Toka ametoka Saka shape nzima ya timu imeyumba nilazima tufanye kitu January
Saka na Martinell huwa wanacheza kwenye touchline kutanua uwanja ili kuacha spaceDogo aliyeswap na Saka hajui kuingia kama Saka kabisa anaboa kinoma
Dogo aliyeswap na Saka hajui kuingia kama Saka kabisa anaboa kinoma
Wanatembeza Kiatu SanaMbona tunachemka mapema
Kama kawaida yake Akili kisoda[emoji16][emoji16][emoji16]Gabriel [emoji23][emoji1787]
Ni lazima arteta atafute mbinu mbadala wanapokosekana hawa akina martineli na Saka inaonekana timu yake kaiunda kupitia hawa wawiliDogo aliyeswap na Saka hajui kuingia kama Saka kabisa anaboa kinoma