Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Inashangaza kwa mchezaji mwenyewe kwan hujui ikae wapi kwa muda gani, timu ikiwa na mpira na ikiwa haina mpira? Na kocha hajamueleza kuhusu ilo kutanua uwanja?Ni lazima arteta atafute mbinu mbadala wanapokosekana hawa akina martineli na Saka inaonekana timu yake kaiunda kupitia hawa wawili
Kuna muda white akiwa na mpira Nelson kashaingia kati kwenye half space wakat mwenzie sana anakua kwenye line kabisa kupokea mpira