Ukweli lazima usemwe arsenal amna uwezo wa kuchalange hata ubingwa labda top 4.
Timu nyingi zinazo fanya vizuri ukiangalia zinakuwa na sub imara sana yani kinatoka chuma kinaingia chuma mfano ni man city.
Sasa arsenal kikosi chenu hakina sub wenye kuweza badilisha matokeo yakiwa mabaya yani kikosi chenu cha kwanza mkipata hata majeruhi wa 3 tu mnakuwa na hali mbaya sana.
Kiukweli arsenal bado sio muda mtaanza kumtukana arteta kama Kawaida yenu hapa.
Hebu kwa mfano pale arsenal itoke wachezaji kama jesus,partey,xhaka,saka,saliba sioni kama kuna wakuziba pengo lao hapo.
Kiufupi mnakikosi kidogo sana,wenye mmeanza kuona kikosi mechi 3 za mwisho kilivyoanza kuchoka.
Labda tusi wa judge sana tuone mzunguko wa kwanza unaisha mkiwa kwenye hali gani.
Nitajie timu gan kwenye hii fixtures ya mech 3 haijachoka ,inacheza kwa rhythm ile ile ,
Halafu Arsenal ,mancity Zina wachezaji 24-25 tu, Lakini Wana uwezo kuliko man u na Chelsea wenye wachezaji jumla 30-31
Unasema Arsenal sub zake za kawaida? Kulinganisha na za Nan?
Hata Huyo man city unayesema akitoka mtu anaingia mtu Sio kweli, usichojua most ni wale wale ila Wana cheza nafas Zaid ya moja
Arteta Ni muumin wa kuwa na wachezaji 22-25 ila wenye Quality tu,na Versatility profile
Nafasi ambayo Arsenal alikuwa na wasiwasi Ni ya Partey na habari njema Mo elneny karudi tayari huyu Ni experience player kuliko Lokonga
Nafasi nyingine wachezaj wote wa Arsenal wanazicheza
No.3 Kuna Tierney ,Zinny, Tomiyasu SIJUI KAMA MAN U MNA QUALITY ENEO LA LB KAMA HII
No.2 Tomiyasu,Ben White ,Saliba,Cedric Sidhani Kama Man u mna Quality na depth ya kutosha RB Kama hi
RCB Tuna White Saliba,Holding, Tomiyasu
LCB Gabriel Magalhaes na Tomiyasu
KIFUPI ENEO LA BEKI TUNA DEPTH YA KUTOSHA
ENEO LILILOKUWA NA WASIWASI NI KUUMIA KWA ELNENY ambaye karejea kumsaidia Partey
CM KUNA XHAKA ,VIEIRA, SAMBI LOKONGA
AM Kuna Vieira, Odegaard ,Smith Rowe, Zinny Zinchenko.
LW Kuna Martinell ,Smith Rowe ,Jesus ,Nelson,nketiah
CF Kuna Jesus ,nketiah
RW Kuna Saka ,Jesus na Marquinho
NB: HIKI KIKOSI KINA UWEZO WAKUTUFIKISHA HAD JANUARY NAFASI YA KWANZA KWENYE LIGI NA HAMNA CHA KUTUFANYA ,
JANUARY TUNAONGEZA WACHEZAJ WAWILI
WINGER anayecheza nafasi 3 za mbele
DM anayecheza pia Nafasi ya XHAKA
Arsenal ilishaondokana na upumbavu wa kurundika Quantity ,
Kwan Pepe ana ubaya gan wakushindwa kuwa BACKUP? PEPE ana tofauti gani na ANTHONY SANTOS wa €100m?
Lakini Ni Bora Msaidizi wa Saka awe Jesus , Marquinho ,wakati anatafutwa Winga sahihi baada ya kumkosa Raphina .