Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usifikili alichokufanya PSV ni bahati mbaya
keep watching....

Epl ni ngumu kuzidi group stage za CL & Europa
 
Arsenyeto arsenyonyo presha fc
Sisi Nottingham forest kufungwa na timu halina uefa ni bora tushuke daraja
Nottingham forest tuna uefa nyie arsenyeto laana fc kazi kupiga punyeto tu
AWONIYI HAT TRICK
 
Nitajie timu gan kwenye hii fixtures ya mech 3 haijachoka ,inacheza kwa rhythm ile ile ,

Halafu Arsenal ,mancity Zina wachezaji 24-25 tu, Lakini Wana uwezo kuliko man u na Chelsea wenye wachezaji jumla 30-31

Unasema Arsenal sub zake za kawaida? Kulinganisha na za Nan?

Hata Huyo man city unayesema akitoka mtu anaingia mtu Sio kweli, usichojua most ni wale wale ila Wana cheza nafas Zaid ya moja


Arteta Ni muumin wa kuwa na wachezaji 22-25 ila wenye Quality tu,na Versatility profile

Nafasi ambayo Arsenal alikuwa na wasiwasi Ni ya Partey na habari njema Mo elneny karudi tayari huyu Ni experience player kuliko Lokonga

Nafasi nyingine wachezaj wote wa Arsenal wanazicheza


No.3 Kuna Tierney ,Zinny, Tomiyasu SIJUI KAMA MAN U MNA QUALITY ENEO LA LB KAMA HII

No.2 Tomiyasu,Ben White ,Saliba,Cedric Sidhani Kama Man u mna Quality na depth ya kutosha RB Kama hi


RCB Tuna White Saliba,Holding, Tomiyasu

LCB Gabriel Magalhaes na Tomiyasu

KIFUPI ENEO LA BEKI TUNA DEPTH YA KUTOSHA


ENEO LILILOKUWA NA WASIWASI NI KUUMIA KWA ELNENY ambaye karejea kumsaidia Partey


CM KUNA XHAKA ,VIEIRA, SAMBI LOKONGA

AM Kuna Vieira, Odegaard ,Smith Rowe, Zinny Zinchenko.


LW Kuna Martinell ,Smith Rowe ,Jesus ,Nelson,nketiah

CF Kuna Jesus ,nketiah

RW Kuna Saka ,Jesus na Marquinho


NB: HIKI KIKOSI KINA UWEZO WAKUTUFIKISHA HAD JANUARY NAFASI YA KWANZA KWENYE LIGI NA HAMNA CHA KUTUFANYA ,


JANUARY TUNAONGEZA WACHEZAJ WAWILI


WINGER anayecheza nafasi 3 za mbele

DM anayecheza pia Nafasi ya XHAKA


Arsenal ilishaondokana na upumbavu wa kurundika Quantity ,

Kwan Pepe ana ubaya gan wakushindwa kuwa BACKUP? PEPE ana tofauti gani na ANTHONY SANTOS wa €100m?

Lakini Ni Bora Msaidizi wa Saka awe Jesus , Marquinho ,wakati anatafutwa Winga sahihi baada ya kumkosa Raphina .
 
| Paul Merson on #ARSNOT:


“Nottingham Forest will sit back and play ten men behind the ball, but I think Arsenal will have too much for them. The earlier they find the back of the net, the bigger the final score will be.


Forest are going to play one way and one way only, but I think Arsenal should be able to win this match. Prediction: 3-0 Arsenal” #afc

” [@Sportskeeda] #afc
 
We have some unfinished business with Nottingham.

They have to answer what they did those days
 
Win today takes us 5 points clear of Sp*rs with a game in hand, 7 of Newcastle with a game in hand, 10 of Chelsea, 11 of United (their game vs WH pending), 15 of Liverpool and most importantly it takes us 2 points ahead of Citeh at the top. Let’s get it Arsenal.
 
Squad depth na quality ndio vinambeba City, sisi quality ipo ila nina wasiwasi na quality ya bench. City akitoka mtu anaingia mtu.
 
Squad depth na quality ndio vinambeba City, sisi quality ipo ila nina wasiwasi na quality ya bench. City akitoka mtu anaingia mtu.
City ana wachezaji wangap?

City asilimia 80 wachezaji wake Ni hao hao ila wengi versatile TU

City mech na man u hakuwa na Rodri, DM anacheza Gundo akisaidiana na Bernado,

City na Arsenal Wana squad ya wachezaji 24 tu ukilinganisha na man u au Chelsea au Liverpool wenye squad ya wachezaji 30-31

Arsenal wapo karibu Sana kuwa na quality kila eneo

Soon akija winger anayecheza Nafas 3 na kiungo anayecheza Nafas 2-3 tunafunga hesabu

Kwasasa tuna upungufu wa quality eneo la DM & CM hapa analetwa mtu anayeweza kucheza Nafas zote mbili,

Niliuliza swal Kwan Pepe ana ubaya gan wakuwa backup player? Pepe Hana tofaut na Anthony wa man u

Ila Arteta alisema Arsenal haipo Tena kujaza lundo la wachezaji wasio na Quality

Baada ya kumkosa Raphina hawakutaka Tena kuokotaokota wachezaji kisa Ni winga aje TU
 
Arsenyonyo arsenyani mmeona wenzenu wanavyobanduliwa....hehehehe sasa ngoja niweke kambi mapemaaa maana nahisi harufu ya kifo hum hehehe
 
Matokeo kama haya:
Brighton 4-1 Chelsea
Liverpool 1-2 Leeds


ukimya mwingi.
Akifungwa Arsenal sasa hizo kelele zake...
Arsenal mna vituko ukimya upi unaouzungumzia wakati magroup ya liver na Chelsea mmeyavamia kama nzige mnajijuta tittle contenders ndoa kwanza hata nusu ya ligi bado. Mwisho wa msimu msikimbie uzi muwepo hapa jamvini kutoa ushuhuda
 
Arsenal mna vituko ukimya upi unaouzungumzia wakati magroup ya liver na Chelsea mmeyavamia kama nzige mnajijuta tittle contenders ndoa kwanza hata nusu ya ligi bado. Mwisho wa msimu msikimbie uzi muwepo hapa jamvini kutoa ushuhuda
Cry more

Kwanza wewe timu gani?

Mlianza mkasema Ni preseason tu, mkaja mkaandika had makala mkidai tusubiri October ,ikapita

Mnakuja na ngonjera nyingine Tena
 
Cry more

Kwanza wewe timu gani?

Mlianza mkasema Ni preseason tu, mkaja mkaandika had makala mkidai tusubiri October ,ikapita

Mnakuja na ngonjera nyingine Tena
Sema mda wenu wa kufurahi huu wasukuma husema enjoy while it lasts mliopitia ni makubwa
 
Arsenal XI: Ramsdale, White, Saliba, Gabriel, Tomiyasu, Odegaard (capt), Partey, Xhaka, Saka, Martinelli, Jesus.

Subs: Hein, Tierney, Nketiah, Holding, Soares, Vieira, Lokonga, Nelson, Marquinhos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…