Kivipi?! Changamoto kidogo tu unapanic, kwenye maisha ya kawaida inaonekana unawasiwasi sana,Arteta anaanz kufeli mdogo mdogo ,nliona tangu alivoanz kushinda goli moja kila mechi,nkapropos kuna important player bench pale izi game za Europ wanatoboa wamekaza fuvu😅😅😅
Exactly mkuu,we will bounce back COYGKivipi?! Changamoto kidogo tu unapanic, kwenye maisha ya kawaida inaonekana unawasiwasi sana,
Vipi mnaendelea kupasua anga?Kuna wajinga wamedroo kesho tunazidi kupasua anga.
Kwani nani yupo juu?Vipi mnaendelea kupasua anga?
Nyie vibogoyo endeleeni kula mtori laini, huku nyama zenye mifupa zikiwasubiri chini.
I knew na hili linatokea kuplay Thursday na Sunday kwa squad tuliyonayo ni tatizo baada ya game vs Liverpool kwa sasa unaona kabisa tunashinda but mpira wetu umepotea tulianza vs Bodo tukasema may be ule uwanja mgumu but kwa trend hii na next game tupo Holland then Nottingham Forest anatusubiri may be may be team inaweza kuamka kwa sasa next game first eleven wengi wapumzishwe for example Saka Martinelli White Xhaka inabidi Arteta akubali kuwapa mapumziko pia world Cup is coming soon na mostly players wetu wataparcipate hukoJesus inabidi awe ruthless akiwa kwenye goal na awe focus sana na kufunga zaidi. Yasije yakatokea kama ya laccazate , unapokaa mda mrefu hufungi confidence nayo inapingua kama striker. All in all game kipindi cha kwanza tulitakiwa kuimaliza kwa chance tulizopata. Inabidi odegard naye awe mbunifu zaidi maana magoli yetu mengi tumefunga kupitia pembeni kwa saka na martineli .
Kitaeleweka tuGemu ilikuwa ya kumalizwa kipindi cha kwanza tukazembea halafu Gabriel Jesus naye akaacha kufunga ile nafasi ya kipindi cha pili.
Arteta asipoitengeneza timu kuweza kumaliza game mapema basi huu ndio mwanzo wa kuanza kudondosha point.
Odegaard naye ni too soft kwenye finishing, partey amepoteza sana mipira leo na Tomiyasu amekuwa na bad game.
Hebu rudia tena!! Unasema top 4 ni nini?Ila tukijilinganisha na misimu iliyo pita tuko pazuri tunakila sababu za kujipongeza. Kufikiria ubingwa sasa hivi ni kujipa stress safar bado ndefu Sanaa,
Mashabiki wa Arsenal wanao jua mpira wanashangilia maandeleo ya timu maana bado timu inajengwa, Ubingwa n ziada, top four ndo muhimu na uhakika
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Better I change channels and tune to NBC premier League, this is rubbish I see. Title contender with the likes of Nketiah and vieira? I start to worry. Mtanipinga lakini ukweli ndio huo.
Arsenal mko vzr sana na improvement ni kubwa sana ya kiuchezaj inaonekana napingana na wale mashabik wa Arsenal wanao hata jarb kuwaza ubingwa lbd kama wanaongea ayo kishabik lkn kiuhalisia ubingwa sio hata level yenu bd ya kuwaza kbs.Ila tukijilinganisha na misimu iliyo pita tuko pazuri tunakila sababu za kujipongeza. Kufikiria ubingwa sasa hivi ni kujipa stress safar bado ndefu Sanaa,
Mashabiki wa Arsenal wanao jua mpira wanashangilia maandeleo ya timu maana bado timu inajengwa, Ubingwa n ziada, top four ndo muhimu na uhakika
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app