Ok elewa hivo, but Bissouma kwa £25m alisubiri ofa ya arsenal na top clubs zikamchunia ,mwisho mezan akawa na ofa moja tu kutoka Spurs
Akaona aende, na bado anasugua bench mbele ya bentacur na hoijeberg.
Top clubs zinaachana na viungo wagumu , hata Chelsea waliacha kumtumia Kante Kama DM msimu wa 5 huu ,
Top clubs hazitegemei Tena ziwe na mtu maalumu wakukaba ,Zina defend kwa unit na structure maalumu .
Viungo wakabaji utawakuta middle teams ,
Mfano kilichomtokea Spurs against United , 3DMs vs 1DM akazidiwa dk zote 90